Kwanini tulazimishane kununua bidhaa sababu tu ya urafiki?

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
717
1,000
Wakuu salamu,

Kumekuwa na wimbi la lawama linaloelekezwa kwa marafiki likisindikizwa na "quotes" ama nukuu zinazokuwa namna hii ili tu kutupa guilt kwa kutonunua bidhaa zenu rafiki zetu.

"Your friends will not support your dreams, but random people will"

Sasa jamani tuje kwenye uhalisia. Hadi unafungua biashara unakuwa umeona hitaji la kile kitu unataka kuuza. Sasa ya nini tukumbushane mara mia tatu na maswali ya "sijapata oda yako" au "nikuwekee kijani au njano?"

Kuna rafiki nimemuepuka tangu Januari alipoanza biashara yake. Kanionesha bidhaa WhatsApp nikasema sawa na kusifia uzuri. Lakini mimi sihitaji hiko kitu atleast kwa sasa. Ni vema nimeona in the future nikiwa na hitaji nitamuambia. Ila sasa nasumbuliwa jamani sihemi.

Kwenye bajeti zetu tuweke na kipengele cha 'kitunza urafiki'? Vyuma jamani vyuma. Harusi tunachangishana sawa japo nayo si kitu poa wala nini ila si haki uninunulishe kiatu/pochi ambayo sihitaji kisa urafiki.

Kama kuna mnaofanya haya tuoneane huruma wajameni. Urafiki unakuwa very expensive. Tangaza biashara yako atakaye atakuja kununua, tusichunane kama mbuzi!
 
Stanley Mitchell II

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
711

Labda anakuchukulia kama mpambe nuksi
 
Habuba

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
925

Si umwambie tu huyo rafiki yako ajue kuliko kutuambia sisi.
 
amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,120
2,000
Urafiki wenu ukoje?kuna ile kuungana mikono kuinuana marafiki wewe unaweza usinunue lakini ukaweza mforwdia kwa wengine wakaona rafiki akapata kitu, ni jambo jema na staha kuinuana marafiki si vyema kuchukuliana hivyo, hata ukimpa idea au kitu unachotaka wewe akutafutie.

Sijui kama nimeeleweka.
 
farujohni

Senior Member
Aug 20, 2017
163
250
mimi yupo alianzisha biashara akasema anaitaji.sapota.yangu nikamchangia tena kwakuona picha Whatsapp ikawa mimi ndoo namdai mzigo.sasa bwana juzi hapa kaniletea mzigo huku kaja mvitu vingine.et ivi nakuachia nitakudai aijapita siku 2 kaanza kusumbuwa kwenye sim nataka anataka.pesa yake paka najuta ila.dawa yake ndogo nikimlipa.tumeishana ulafiki unaponza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndio maana mimi nazungusha. Akiniambia upo nyumbani leo namwambia sipo natunga safari. Akisema kazini namwambia niko nafanya kazi za nje. Maana kifuatacho ni kuletewa bidhaa bila hiyari.
 
Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
717
1,000
Urafiki wenu ukoje?kuna ile kuungana mikono kuinuana marafiki wewe unaweza usinunue lakini ukaweza mforwdia kwa wengine wakaona rafiki akapata kitu, ni jambo jema na staha kuinuana marafiki si vyema kuchukuliana hivyo, hata ukimpa idea au kitu unachotaka wewe akutafutie.

Sijui kama nimeeleweka.
Nakuelewa huko unakotokea. Mimi hununua kwa marafiki vitu ninavyohitaji. Tena huwa naandika kwenye WhatsApp groups za marafiki, kuulizia kama ninachotaka kuna auzaye namsapoti sababu najua maisha kunyanyuana ila sio ninunue kitu nisichohitaji sababu ya urafiki. Ukiona mtu haagizi unachouza ujue hahitaji jamani.
 
Stanley Mitchell II

JF-Expert Member
Jul 2, 2018
711
1,000
Urafiki wenu ukoje?kuna ile kuungana mikono kuinuana marafiki wewe unaweza usinunue lakini ukaweza mforwdia kwa wengine wakaona rafiki akapata kitu, ni jambo jema na staha kuinuana marafiki si vyema kuchukuliana hivyo, hata ukimpa idea au kitu unachotaka wewe akutafutie.

Sijui kama nimeeleweka.
Acheni kusumbua watu....mnasumbua sana nyie wajasiriamali wa nisaidie kushare....

Mko desperate n aggressive....mnalazimisha....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom