MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,301
Wadau nawasabahi.
Naomba kujuzwa kwanini TRAFIKI anaposimamisha DALADALA, BUS, LORI anayetelemka baada ya kusimamia ni UTINGO au KONDAKTA na SIO DEREVA?
Ninavyoamini mimi ni kuwa TRAFIKI analisimamisha hilo gari ili aongee na Dereva na sio Konda au Utingo kwani ndiye mwenye kuendesha chombo hicho.