Kwanini trafiki akisimamisha daladala, lori au basi anateremka konda/utingo na si dereva?

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Wadau nawasabahi.

Naomba kujuzwa kwanini TRAFIKI anaposimamisha DALADALA, BUS, LORI anayetelemka baada ya kusimamia ni UTINGO au KONDAKTA na SIO DEREVA?

Ninavyoamini mimi ni kuwa TRAFIKI analisimamisha hilo gari ili aongee na Dereva na sio Konda au Utingo kwani ndiye mwenye kuendesha chombo hicho.
 
Wadau nawasabahi.
Naomba kujuzwa kwanini TRAFIKI anaposimamisha DALADALA,BUS,LORI anayetelemka baada ya kusimamia ni UTINGO au KONDAKTA na SIO DEREVA?
Ninavyoamini mimi ni kuwa TRAFIKI analisimamisha hilo Gari ili aongee na Dereva na sio Konda au Utingo kwani ndiye mwenye Kuendesha Chombo hicho.
Si anakwenda kulipa chochote kwa afande?
 
Wadau nawasabahi.

Naomba kujuzwa kwanini TRAFIKI anaposimamisha DALADALA, BUS, LORI anayetelemka baada ya kusimamia ni UTINGO au KONDAKTA na SIO DEREVA?

Ninavyoamini mimi ni kuwa TRAFIKI analisimamisha hilo gari ili aongee na Dereva na sio Konda au Utingo kwani ndiye mwenye kuendesha chombo hicho.
Kwenye fani hii utingo au kondakta ndiye msuruhishi wa dereva na trafiki.
 
Wadau nawasabahi.

Naomba kujuzwa kwanini TRAFIKI anaposimamisha DALADALA, BUS, LORI anayetelemka baada ya kusimamia ni UTINGO au KONDAKTA na SIO DEREVA?

Ninavyoamini mimi ni kuwa TRAFIKI analisimamisha hilo gari ili aongee na Dereva na sio Konda au Utingo kwani ndiye mwenye kuendesha chombo hicho.

Hao ndiyo mabwana fedha. Na kumbuka askari hawa kazi yao kubwa ni kukusanya mafweza.
 
Yani kunakuwaga na trafic msimamisha gari na mmoja amekaa kwenye gari lao konda akishuka anaenda kwa yule mwenye gari alafu huyu aliesimamisha anakuja kukagua gari lenu Nani atapiga picha
 
Wadau nawasabahi.

Naomba kujuzwa kwanini TRAFIKI anaposimamisha DALADALA, BUS, LORI anayetelemka baada ya kusimamia ni UTINGO au KONDAKTA na SIO DEREVA?

Ninavyoamini mimi ni kuwa TRAFIKI analisimamisha hilo gari ili aongee na Dereva na sio Konda au Utingo kwani ndiye mwenye kuendesha chombo hicho.

Wasaidizi kila kitu wanashika wao dereva hausiki hapo
 
Wadau nawasabahi.

Naomba kujuzwa kwanini TRAFIKI anaposimamisha DALADALA, BUS, LORI anayetelemka baada ya kusimamia ni UTINGO au KONDAKTA na SIO DEREVA?

Ninavyoamini mimi ni kuwa TRAFIKI analisimamisha hilo gari ili aongee na Dereva na sio Konda au Utingo kwani ndiye mwenye kuendesha chombo hicho.
Sidhan km kuna abiria akiona konda kashuka haelew nn kinaenda kufanyika labda km ndo umeanza kusafir leo Mkuu
 
Wadau nawasabahi.

Naomba kujuzwa kwanini TRAFIKI anaposimamisha DALADALA, BUS, LORI anayetelemka baada ya kusimamia ni UTINGO au KONDAKTA na SIO DEREVA?

Ninavyoamini mimi ni kuwa TRAFIKI analisimamisha hilo gari ili aongee na Dereva na sio Konda au Utingo kwani ndiye mwenye kuendesha chombo hicho.
Kwa sababu ya rushwa!
 
Back
Top Bottom