Benjamin Nyamseri
Senior Member
- Oct 13, 2020
- 149
- 299
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema huko mlipo. Nilikuwa napita pita kwenye mtandao wa beforward kuangalia bei za magari. Nimeshangazwa na bei za Toyota premio. Yaani unakuta gari ya 2004 CIF inasoma $5000 huko, ambayo ni milioni 12 na kitu. Ukiweka kodi za TRA na bandari inafika 24 M. Miaka minne hapo nyuma hizi premio zilikuwa kwenye milioni 15 hivi. Lakini cha kushangaza Toyota wish unakuta CIF $4000 hapo. Naomba kwa waojua kwanini Toyota premio iendane bei sawa na SUVs kama subaru.