Kwanini tokea Juni 18, 2020 hadi leo hii upande wa 'Twita' hakuchangamki tena kama zamani?

Twutter mbona bado kumechanganka mkuu ... Tena sasa hivi ndio raha kwa sababu baada ya kurejea lissu zile tambo za chama tawala zimetoweka

Twitter raha sana asikuanbie mtu
 
Sasa hivi nimebakia na 'Furaha' moja tu pekee ya Mtandao wangu huu 'pendwa' wa JamiiForums, ila na Mimi 'nilitekwa' kweli kweli 'Twitani' huko
Twitter sasa hivi ni Tundu Lissu tu.

Tundu Lissu this, Tundu Lissu that.
Tundu Lissu here, Tundu there.

yaani Tundu Lissu kaleta shida huko Twitter!!
 
Yule ndugu yetu na mtanzania mwenzetu akaunti yake imepigwa pini ya hatari.

Kuna siku alijaribu kurudi lakini hata dakika chache hazikupita tweeter wakai block tweet yake kwa copyright issues.
 
Kigogo kashakamatwa zamani sana

Adjustments.JPG
 
Back
Top Bottom