Kwanini Timu Mbalimbali hazivutiwi kuja Dar kushiriki Simba Day?

Simba hatuna watu bitter na negative ka wewe team manara with too much negativity and depression mwaka huu mlambe ndimu za kutosha
Manara tena. Sasa hapa Manara ameingiaje?

Mbona wakati wote anaishi pasi na kulipia kodi kwenye vichwa vyenu?
 
Niletee orodha rasmi ambayo hata wewe umeitazama na ukajiaminisha kuwa hiyo orodha ni halali na sawia.
We jamaa ngekueka tusi ...basi tu

Sasa wewe list yako kwani uhakika uko wapi mpaka uanze kisema imethibitishwa ...kwa hiyo unahisi kwamba simba sio ya kumi na 3 unahisi ni ya 100 au?

Sisi wenyewe yako hatuiamini ..mimi na mwenzangu aliepost tunaamini TP mazembe ni ya kwanza simba ya pili na zanaco ya 17
 
Mimi nimekuletea Orodha hii kuonyesha kuwa Makolokolo FC hawapo hata Top 20. Sasa niletee yako ikionyesha uko nafasi ya 13.
View attachment 1927984

Sasa unachoshindwa kuelewa hapa ni kipi? Wanasema baada ya mechi zilizochezwa sept 5,Simba imecheza mara ya mwisho lini? Na kwanini usilete orodha kutoka CAF wenyewe ambayo ni overall waliyotoa August? Kwa akili yako Simba itoke top 15 August mpaka isiwepo kabisa kwa orodha hii uliyoiweka hapa ambayo hata ukiscroll hadi no 100 huioni Simba sababu haijacheza.

CAF hawakubahatisha kuipanga Simba isianzie hatua ya kindergaten kwenye CL kama Utopolo,Unadhani Simba ingekuwa imeshuka kiasi hicho Utopolo wangekaa kimya mitandaoni?Tatizo akili zenu mmemwachia Manara afikirie kwa niaba yenu.

Tena atuletee ranking kutoka Official page ya CAF!
 
Hivi kwanini hampendi kutumia akili zenu kufikiria kwa kina?

Hivi unawezaje kuwa juu Kiubora kuliko AS Vita bingwa wa CAFCL mwaka 1978?
Hivi unawezaje kuwa juu Kiubora kuliko CS Sfaxien bingwa mara 3 wa CAFCC mwaka 2007, 2008, 2013?
Hivi unawezaje kuwa juu Kiubora kuliko Kaizer Chiefs ambaye ni fainalist wa CAFCL mwaka 2021?
Hivi unawezaje kuwa juu Kiubora kuliko JS Kabylie bingwa wa CAFCL mwaka 1981, 1990?
Hivi unawezaje kuwa juu Kiubora kuliko Orlando Pirates bingwa wa CAFCL mwaka 1995?

Kikwete aliwaambieni kuwa Akili za kuambiwa changanya na Zako.

Kama aumeamua kushikiwa akili zako uko sahihi pia. 😂 😂
 
Manara tena. Sasa hapa Manara ameingiaje?

Mbona wakati wote anaishi pasi na kulipia kodi kwenye vichwa vyenu?
Manara kakuambukiza negative energy asipokufa kwa pressure alijiona yeye ni mkubwa kuliko team sasa ana machungu tele moyoni
 
Waombe radhi Mashabiki wa Simba.

You seem to be confused I stan!
A wapi wewe shabiki wa utopolo with full negative energy mashabiki wa Simba tuko busy na team yetu we are not bitter
 
Utopolo hiyo CAF Ranking ya August 2021 walioitoa walikuwa hawayajui haya?

Once Utopolo you will always be Utopolo
 
A wapi wewe shabiki wa utopolo with full negative energy mashabiki wa Simba tuko busy na team yetu we are not bitter
Uko Busy na Nini Bibie? Mbona timu iko Arusha halafu wewe uko Mtwara.
 
Utopolo hiyo CAF Ranking ya August 2021 walioitoa walikuwa hawayajui haya?

Once Utopolo you will always be Utopolo
Ukiona shabiki wa Yanga anashabikia ranks za Afrika kaa nae mbali, huenda ana chawa & funza katika sehemu yake ya kushoto ya Ubongo.

Rankings za Afrika haziakisi uhalisia kwa namna yeyote ile.
 
Manara kakuambukiza negative energy asipokufa kwa pressure alijiona yeye ni mkubwa kuliko team sasa ana machungu tele moyoni
Sasa si mme mlea wenyewe, Huko ndio kisima ya yote unayoyasema! Tabia zote amezipata huko.

Huku amekuja akiwa amekomaa katika hayo.
 
Hebu copy hii message yako nenda kwenye official page ya CAF tafta ile post ya hyo rank nenda kweny comments ipest.
 
Ukiona shabiki wa Yanga anashabikia ranks za Afrika kaa nae mbali, huenda ana chawa & funza katika sehemu yake ya kushoto ya Ubongo.

Rankings za Afrika haziakisi uhalisia kwa namna yeyote ile.
Wewe itakuwa Muha sio bure
 
Ukiona shabiki wa Yanga anashabikia ranks za Afrika kaa nae mbali, huenda ana chawa & funza katika sehemu yake ya kushoto ya Ubongo.

Rankings za Afrika haziakisi uhalisia kwa namna yeyote ile.

Typical Utopolo. Hizo rankings kama hazina maana mbona povu linakutoka sasa.Unadhani Simba kuanzia round ya pili sawa na Al ahly na kina Mamelod,Mazembe,Wydad na Wababe wengie wa Afrika imekuja bure bure tu.

Pambana kwanza Jumapili,maana mpaka tukutane tar 25 utakuwa tayari Out CL
 
Nasikia wakigonga mwamba na hapo huenda wakatuletea Wa-Afrika wenzetu eti.
.Kwani hao uliowataja sio waafrika mkuu umetoka mbinga lini?
 
Kwa ujinga huu, Tanzania tuna ushabiki wa kipumbavu sana.
 
Makorokoro day imechacha, warudi katika timu za Rwanda, Kenya, Uganda au Burundi
 
Bado hujahangaika. Siku ilifika lazima utataga. Msukule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…