Kwanini TFF wasingeiandika hii Ngao kwa Kiswahili?

Nauliza tu kwa hiyo FIFA walitunyima zile pointi?kwa hiyo tumekubali yanga ndo bingwa!! cc mbumbumbu fc

sent from my land lover 109 using Jamii forums app
 

Attachments

  • Screenshot_20170823-210928.png
    Screenshot_20170823-210928.png
    71.2 KB · Views: 26
Mbumbumbu fc hawakuona,wamepokea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyeitengeneza, aliyeipokea toka kwa fundi, aliyeileta uwanjani, aliyeitoa kwa timu iloyoshinda na hata aliyeipokea kwa niaba ya washindi hawakuliona hilo. Bado tuna safari ndefu sana katika kufikia matumizi mazuri ya lugha. Jambo hili pia hujitokeza kwenye filamu zetu. Tafsiri inayotolewa huwa haiendani na maneno yaliyokusudiwa na kibaya zaidi spelling ni utata mtupu.
 
Back
Top Bottom