Kwanini TFF wasingeiandika hii Ngao kwa Kiswahili?

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
IMG_20170823_201443.jpg


Wangeandika Ngao ya Jamii 2017/18 na si kutufedhehesha Watanzania kwa kiwango hiki.

Hata kama wangependelea kuiandika kwa Lugha ya Malkia sasa huyo Afisa aliyeipokea kwanini hakuweza kujiongeza hata kuikagua?

Uongozi Mpya madudu yaleyale......
 
Wana JF,

Nimesikitishwa Simba kupewa ngao iliyokosewa maandishi... COMMUNITY "SHEILD" badala ya COMMUNITY "SHIELD". Simba rudisheni wafanye EDITING.
Hii ni aibu kwa Taifa. Viongozi wa TFF wawajibike haraka.
FB_IMG_1503508775743.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom