Watchtower
Member
- Sep 18, 2022
- 93
- 182
Unapo attack chombo cha kidini na kutokujadili hoja walizozitoa unafanya dhambi ile ile unayoikataa.......Wakuu salama? Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo? Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao? Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!
Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Kwa hiyo wenyewe wanatakiwa wafuate wanachokielekeza, kwa hiyo na Bakwata watoe tamko sio?Unapo attack chombo cha kidini na kutokujadili hoja walizozitoa unafanya dhambi ile ile unayoikataa...
TEC wapo kwenye kivuli cha sauti ya wananchi lakini kiuhalisia wapo kwa maslahi yao.Unapo attack chombo cha kidini na kutokujadili hoja walizozitoa unafanya dhambi ile ile unayoikataa.......
Huko kugawana kwa kidini mnakusema ninyi mnaong'ang'ana na hiyo mikataba mibovu au kwa nia zenu za kuficha madhaifu yenu.Wakuu salama? Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
TEC umeanza kuifahamu lini?Wakuu salama? Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo? Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao? Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!
Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Wamemtuma Dr Slaa...wakaona kakamatwa wamejitokeza wenyewe live.Wakuu salama? Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo?...
Vyovyote ilivyo lakini ni muhimu kwa namna yoyote kupata watu wanaowaza tofauti na wanasiasa na kushikamana kutoa kauli moja.TEC wapo kwenye kivuli cha sauti ya wananchi lakini kiuhalisia wapo kwa maslahi yao.
Unaweza kuyaainisha maslahi yao bayana na Kwa mifano dhahiri isiyoleta shaka?TEC wapo kwenye kivuli cha sauti ya wananchi lakini kiuhalisia wapo kwa maslahi yao.
Uchafu gani awamu iliyopita ulifanyika?Wakuu salama? Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo? Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao? Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!
Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Haya ni mawazo mgandoWamemtuma Dr Slaa...wakaona kakamatwa wamejitokeza wenyewe live .....
Na wala hawataki kurekebisha vipengele...wako very clear hawataki waarabu waislam...
Hata akija mwekezaji Mzungu vipengele hivyo hivyo hutasikia wakisema chochote...si alikuwepo Ticts na Hong Kong miaka 22...walisema chochote?
Nadhani atakua ameifahamu Leo baada ya waraka! Unaweza kuona how narrow he is! Watu wa aina hii ni mzigo Kwa taifaTEC umeanza kuifahamu lini?
Wamejawa na udini hao watu, Hawataki uwezekaji kwa sababu ni Mwarabu tuWamemtuma Dr Slaa...wakaona kakamatwa wamejitokeza wenyewe live .....
Na wala hawataki kurekebisha vipengele...wako very clear hawataki waarabu waislam...
Hata akija mwekezaji Mzungu vipengele hivyo hivyo hutasikia wakisema chochote...si alikuwepo Ticts na Hong Kong miaka 22...walisema chochote?
Kwa Tanzania ya leo huo ni uwongo,wangepingana wenyewe kwa wenyewe.Wamemtuma Dr Slaa...wakaona kakamatwa wamejitokeza wenyewe live .....
Na wala hawataki kurekebisha vipengele...wako very clear hawataki waarabu waislam...
Hata akija mwekezaji Mzungu vipengele hivyo hivyo hutasikia wakisema chochote...si alikuwepo Ticts na Hong Kong miaka 22...walisema chochote?
Umeusoma waraka lakini au umeamua kuandika tu!Wamejawa na udini hao watu, Hawataki uwezekaji kwa sababu ni Mwarabu tu
Acha udini ngeke wewe. Awamu ya tano iliuza shirika gani la umma? Awamu ya 5 tulishudia mnyonge akithaminiwa na kuwa na sauti.Wakuu salama? Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo? Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao? Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!
Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Warabu hawa kote ambako walikaa kwa wingi ndo kuna umasikini mkubwa sana!Wamejawa na udini hao watu, Hawataki uwezekaji kwa sababu ni Mwarabu tu
Hilo halina ubishi lakini kitendo cha Tec ku come out kisa bandari anataka kupewa mwarabu basi hio tayari ni udini Mkubwa sana ambao hauna maana Nimeona kwenye waraka wao pia wameweka inshu za Loliondo ambako nako wamepewa waarabu, Mimi Binafsi siwapendi waarabau kwasababu nafahamu fika sio civilized na wana ubaguzi sana ila ili la TEC kuraise alarm ni limejaa Misingi y kibaguzi na kutaka kugawa taifaWarabu hawa kote ambako walikaa kwa wingi ndo kuna umasikini mkubwa sana!
Unakumbuka kauli zao na ushauri walioutoa kabla ya waraka wa jana?Wamejawa na udini hao watu, Hawataki uwezekaji kwa sababu ni Mwarabu tu