Kwanini TCRA hawasajili IMEI numbers za simu kabla ya kuanza kutumika kama ambavyo TRA wanavyosajili chassis numbers za magari?

Bado hatujajipanga kwa hilo...

Sii unaona tulianza bila usajili wowote... ikafuata usajili wa line kwa kutumia kitambulisho chochote... sasa usajili wa line tena kwa kutumia kitambulisho cha uraia na alama za vidole...


Cc: mahondaw
 
Boss naomba unisamehe kama nimekuudhi. I'm not attacking you personally ila ninaona kama una stress vile.

I'm sorry but I feel like ume panic sana
Sina stress. You are misinforming the public kuwa TCRA is not doing something it should. Hapo ndipo napingana na wewe. We need to right this wrong.

Name a country ambapo simu zinasajiliwa na mamlaka ya mawasiliano ya nchi even though zina SIM card without which mtu hapati huduma.
 
I took my time kuandaa jibu comprehensive as the question is, naambiwa sijaelewa maudhui. I feel very insulted.

Let us go through your thread tuone ni wapi ambapo sijaelewa.


Unataka kujua kwanini kwenye kusajili SIM card hawasajili IMEI sio? Kwamba kwanini hawaassociate a sim card to an IMEI wakati wa SIM registration? Nikasema haya:



On a related note, ukataka kuona uwezekano wa wauza simu kusajili hizo simu. Nikasema:




Unataka kujua kwanini Polisi wanataka IMEI number, sio?


Kweli mimi sijaelewa maudhui ya thread? Au you are not smart enough kuchambua jibu nililokupa?


This just shows you suck at keeping records. Kuna Google drive na online storage kibao. You can store your IMEI numbers and other important records in there.


When you ask, sit your ass and listen.
Hilo jibu ulilompa ni level ya uprofesa, yaani umechimba deep, umemuacha angani..
Na ku simplify zaidi ya hapo ni ngumu..
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti, Kwanini kwenye kusajili simcard hawasajili na IMEI number ya handset ya mhusika???? Najua kuna baadhi ya watu watakuja hapa na kusema kuwa IMEI number huonekana automatically kwenye computer system ya service provider pindi simcard inapochomekwa kwenye handset.

Sasa kwanini mtu akipoteza kifaa cha kielektroniki (let's say it's a mobile handset) ukienda kutoa report police wanakwambia uwapelekee na IMEI number ya kifaa husika????

Kwanini simcard na mobile handset visisajiliwe vyote kwa pamoja na kwa wakati mmoja kwa kitambulisho kutoka katika mamlaka za serikali kiasi kwamba ikitokea mimi Infantry Soldier nimepoteza handset nikienda Police wasiniombe tena IMEI number ya kifaa husika???

IKIWEZAKANA HANDSET ISAJILIWE DUKANI WAKATI WA KUNUNUA. WAUZAJI KATIKA MADUKA YA SIMU WAWE NA KIFAA CHA KISASA CHA USAJILI.

Hii inawezekana kweli au mimi ndio mshamba wa technology???

NB: NSSF Arusha nipeni pesa zangu za redundancy mtaani maisha ni magumu sana. Mungu anawaona mjue????
IME ndio inatumiwa kukutafuta your fat ass
 
okay. Sawa. Sasa nimeshafahamu uelewa wako. Kwa hiyo wewe unataka jambo lianza kwanza ulaya ndio lije Africa???
Naendelea kuignore all personal attacks.

Haya, sasa tunajua hakuna nchi inayofanya hivyo. That shoud tell you something.

Je, ni kwanini tuanze? What does the govt stand to benefit from such an arrangement? What about the negative effects of it? Ukiweka pros na cons, which side wins?
 
Majizi tu haya, yanang'ang'ana kusajili malaini lakini hawashughulikii wizi na utapeli wa data za intaneti unaofanywa na makampuni ya simu!

Haiwezekani GB 3 inaisha kwa masaa sita kwa kuperuzi whatsApp tu!

Hovyo kabisa!
Kila kukicha hawa jamaa wanapunguza dhamani za MB, ili watu wazidi kukwangua vocha.
 
Hilo jibu ulilompa ni level ya uprofesa, yaani umechimba deep, umemuacha angani..
Na ku simplify zaidi ya hapo ni ngumu..
Taratibu naenda naye mkuu.... akubali kuwa hakuna haja hiyo au aonyeshe definitively kuwa haja ya usajili huu ipo.

Alipoleta maoni, tena yaliyokaa kilawama mtandaoni I hope alijipanga kuwa challenged.
 
Taratibu naenda naye mkuu.... akubali kuwa hakuna haja hiyo au aonyeshe definitively kuwa haja ya usajili huu ipo.

Alipoleta maoni, tena yaliyokaa kilawama mtandaoni I hope alijipanga kuwa challenged.
I knew it, lakini lugha yake ndio upside down. Why use stress or upstairs not o.k ?
 
Utatumia nguvu sana kuhifadhi elfu hamsini sawa na nguvu utayotumia kuhifadhi milioni hamsini ? Hata hivyo gari ni chache sana ukilinganisha na simu ambazo sidhani kama zinatakwimu halisi
Kwa hiyo unasema gari zinasajiliwa kwa kuwa ni chache ila handsets zisisajiliwe kwa kuwa ni nyingi??? Mtu mzima hii ndio reasoning yako??? Kama hii ndio reasoning yako basi tuna safari ndefu sana kama Tanzanian. Mungu akusamehe bure boss wangu
 
Back
Top Bottom