Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,316
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti, Kwanini kwenye kusajili simcard hawasajili na IMEI number ya handset ya mhusika???? KWANINI TRA WANASAJILI MAGARI LAKINI TCRA HAWASAJILI HANDSETS??? Najua baadhi ya watu watakuja hapa na kusema kuwa IMEI number huonekana automatically kwenye computer system ya service provider pindi simcard inapochomekwa kwenye handset.
Sasa kwanini mtu akipoteza kifaa cha kielektroniki (let's say it's a mobile handset) ukienda kutoa report police wanakwambia uwapelekee na IMEI number ya kifaa husika????
Kwanini simcard na mobile handset visisajiliwe vyote kwa pamoja na kwa wakati mmoja kwa kitambulisho kutoka katika mamlaka za serikali kiasi kwamba ikitokea mimi Infantry Soldier nimepoteza handset nikienda Police wasiniombe tena IMEI number ya kifaa husika???
IKIWEZAKANA HANDSET ISAJILIWE DUKANI WAKATI WA KUNUNUA. WAUZAJI KATIKA MADUKA YA SIMU WAWE NA KIFAA CHA KISASA CHA USAJILI.
Hii inawezekana kweli au mimi ndio mshamba wa technology???