Kwanini TCRA hawasajili IMEI numbers za simu kabla ya kuanza kutumika kama ambavyo TRA wanavyosajili chassis numbers za magari?

Ushauri wako mzuri ili kukomesha wizi wa simu
Inabidi tcra wawe na kitengo ukinunua simu unaenda wanaisajili kwahiyo hata kama itaibiwa itakuwa rahisi kuikamata
 
Ushauri wako mzuri ili kukomesha wizi wa simu
Inabidi tcra wawe na kitengo ukinunua simu unaenda wanaisajili kwahiyo hata kama itaibiwa itakuwa rahisi kuikamata
Kuisajili kutarahisisha vipi ukamataji wake tofauti na ilivyo sasa? Hivi unaelewa locating ya simu iliyoibwa inavyofanya kazi?
 
Mbona gari inasajiliwa hata kama unanunua kumi zote kwa nyakati tofauti?
Intention ya kusajili magari ni nini? Nani anafaidika kwa usajili wa magari? Nani atafaidika kwa usajili wa handsets?

If you are open to debate, fikiria hili kisha nijibu.

Otherwise naona unachofanya ni kutafuta uninformed supporters na kuforce your ideas on them.

Stress za unemployment na mafao zisikuvuruge mkuu ukaishia kusahihisha vitu bila kuvifikiria kwa upana.
 
Kwamba kwanini hawaassociate a sim card to an IMEI wakati wa SIM registration?
Ni wapi nimesema nataka kuwe na association kati ya simcard na handset wakati wa registration??? Ndio maana ninasema unahitaji psychological counseling. You're overrating yourself boss
 
Ni wapi nimesema nataka kuwe na association kati ya simcard na handset wakati wa registration??? Ndio maana ninasema unahitaji psychological counseling. You're overrating yourself boss

Haya.

Eti, Kwanini kwenye kusajili simcard hawasajili na IMEI number ya handset ya mhusika????
Kwanini simcard na mobile handset visisajiliwe vyote kwa pamoja na kwa wakati mmoja kwa kitambulisho

Hapa ulitaka nini sasa?
 
Back
Top Bottom