Kwanini TBC, BBC, SABC, KBC, UBC et

skilled masala

Senior Member
May 2, 2019
118
158
Habari wanajukwaa wenzangu🤝, naomba ufafanuzi wa jambo hili.


Ni kwanini vyombo vya habari vya serikali especially radio na TV vingi vinatumia mfumo mmoja wa majina yao mfano (KBC, TBC, BBC, UBC, etc.)


1:Je nilazima kwa radio na Tv za serikali kutumia mfumo huu.?


2:Ni sababu ipi ilizifanya radio na TV za baadhi ya nchi kubadili majina yao kuja kwenye mfumo huu mfano RTD to TBC.?


3:Je inaruhusiwa kwa Radio na Tv za watu binafsi au mashirika yasiyo ya kiserikali kufuata mfumo huu.? Mfano ( *Malema broadcasting corporation _MBC_*)


Naombeni majibu ya maswali haya please kama hamtojali🤝
 
ukitawaliwa bc unajiandaa kuwa mke, chanzo hapo ni BBC huko UK
 
BC=Broadcasting Corporation. Corporation ni shirika kubwa lenye makampuni madogo madogo mengi. Wengi wameunganisha mfano RTD, Television ya taifa, nk kuunda TBC.
 
Back
Top Bottom