Kwanini Tanzania iendelee kununua ndege?

Kama hawa wanao sema Yesu na mke wake walikosa sehemu ya kulala, ndo wanapitisha mikataba si bora tungefata ndege za Afghanistan zilizo achwa na USA tungeonekana wa maana sana
 
Ndege hununuliwa kwa oda. Unaweka oda Leo ili uipate kesho. Oda yenyewe ni kama mkataba ambao unakuwa umejifunga. Usiponunua kuna malipo lazima uyalipe. Sasa kama tuliweka oda ya ndege tano na kwa vile sisi pesa si tatizo, basi tumeshawalipa hao jamaa tunasubiri ndege zetu tu. Hatuna budi kuvumilia hadi zote zifike hapa halafu tutajua nini cha kufanya. Asanteni kwa kunisikiliza.
 
Kwa sasa kiupaumbele chetu, hakitakiwi kiwe ni ununuzi wa ndege. Tuna matatzo lukuki , Ivi kwa logic tuu ya kawaida unaenda kununua ndege kwa Cash then unarudi kukopa hela ili ujenge
1.Madarasa na vyuo vya shule
2.zahanati na dispensary
3. Mabweni ya wanafunzi
Unaenda kuknunua ndege halafu hauna viwanja vya ndege zenye viwango staili
It's does it make sense ???? Its possible in Tz
Wananchi hawana maji wananvhi hawana zana za kilimo .
Ivi hizo zitalenda mtali kwenye nchi ambayo kuna Gaidi
 
Kwa sasa kiupaumbele chetu, hakitakiwi kiwe ni ununuzi wa ndege. Tuna matatzo lukuki , Ivi kwa logic tuu ya kawaida unaenda kununua ndege kwa Cash then unarudi kukopa hela ili ujenge....
Yaani wewe upo hapa JF ndio uipangie Serikali ya Tanzania? Wacheni dharau, hivi kwa Tanzania ndege kwa mfano 20 zinatosha kweli kukidhi mahitaji yetu ya usafiri wa anga? Leteni stats nchi zinazotuzunguka wana ndege ngapi etc kabla ya kuanza kutapika matapishi yenu.
 
Mikataba chechefu na mibovu, wahawakusoma mstari kwa mstari,neno kwa neno, kukosa uzoefu wa kufunga mikataba ktk sekta ya anga, uvivu wa kusoma na kiburi cha kuonesha ufahari kuwa nchi ni tajiri...
Mwendazake aliacha ndege 8 huku zikiwa zimelipiwa 3 , moja imeshakuja.

zilizobaki ni 2 tu ili itimie idadi ya ndege 11.

Hizi 5 ananunua mama mwenyewe, moja ni ya mizigo
 
Oda ya ndege ni 2 tu ndio zimebaki.
Hizi 5 ndio mchakato wa kununua unaanza. Moja itakuwa ya mizigo
 
Wewe upo upande gani haswaa?

Unataka tuzidi kuongozwa na un _reasoning skill kama huyo mwigulu
 
Watu na akili zo wanashangilia kununua ndege, a Nation, nchi ya kishenzi hii. What is Ndege?
Washenzi hawataki ndege, barabara, madaraja na reli wanataka hela zinazotumika katika manunuzi hayo zigawiwe kwa watu mitaani! Kweli hii nchi ya kishenzi.
 
Mjadala wangu kuhusu kwanini Tanzania iendelee kununua ndege unaendelea tena sehemu ya pili baada ya sehemu ya kwanza kutoka kwenye Gazeti la HABARI LEO la Juzi, Sasa leo Ijumaa Septemba 03, 2021 ukiwa katika Gazeti la HOJA kwenye ukurasa wa 8 na 9 na kichwa chake cha habari "KWANINI TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE"?. Fika sasa nchi nzima panapouzwa magazeti ujipatie nakala yako ufaidi huu mjadala na habari zingine nyingi ndani ya Gazeti la HOJA.

Bwanku M Bwanku
bwanku55@gmail.com
 
Kwani kuna mwenye uelewa timamu asiyejua kuwa ndege zinanunuliwa ili wahusika wapate commission a.k.a 10% ?wewe na akili yako CAG kila ukaguzi wa mahesabu anabaini hasara katika uendeshaji wa hiyo biashara bado waendelea ununuzi?
 
Ujinga
 
Jizi lilokubuhu lilikuja na gia ya kununua ndege by cash ili likwapue vizuri cha ajabu kuna wapumbavu walikuwa wanalisifia!
 
Unajadili na nani kwenye huo mjadala wa kwenye gazeti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…