stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 9,872
- 19,315
Ushachanganya madesa nitakugonga maswali ambayo hautaweza kuyajibu maana kule juu umeandika kingine na huku chini unaandika kingine uzidi kupuyanga tu, huyo SIO programmer na hajui chochote kuhusu tech yeye anatafuta idea anatafuta developer wanadesign app ili apige Pesa umesema mwenyewe hii statement kule juu sasa unamfananisha vipi na hao developer's wa tangu na tangu una akili wewe? Huyo ni Mwizi TU wanaijeria wengi ni vibaka mtandaoni wanaiba sana hao mamwehu usiwafananishe na Steve Jobs yaan hawamfikii hakuna wa kumfikia Steve Jobs Nigeria hata huyo blord hamsogelei Steve Jobs hata robo copy na paste ideas unasema ni developer eti tech fyokofyoko kawa billionaire, waongopewe hao hao ukiweza leta valid source ya maelezo yako with reference aminifu sio udakuSasa unashangaa nini kwa huyo kijana wa miaka 26 kutoka Nigeria akiwa tajiri?