Kwanini Tanzania hatufiki mbali kwenye michezo hasahasa mpira wa miguu!!

tupo busy kwa kila mpinzani,yaani kila awamu inakuja na bajeti ya kununua wapinzani,ukiomba pesa ya kusafirisha mashabiki kwenda Uganda unaambiwa hakuna lakini pesa ya kumnunua SLAA ipo tena imejaa
 
kuna vipaji vingi vya soka Tanzania ila hatua mikakati na miundo mbinu ya kuviendeleza....nakumbuka wakati nipo sekondari kuna watu walikuwa wanaokoteza wachezaji vijijini alafu wanatengeneza timu ya combine .......wale vijana wanajua kweli mpira na timu mpaka yanga na simba zilikuwa zikicheza nao mechi wanawatoa jasho........ila baada ya mechi hakuna any program ya kuwa capture wanaishia kuwa wavuta bangi vijijini.......pia soka letu tulilimaliza tulipoua umiseta na umishuta.....Nawalaumu sana wabunge wetu waliopitisha hiki kitu miaka ile ya mwanzoni wa 2000 bila kujua zile program ziliwekwa makusudi maana nchi yetu haina uwezo wa kujenga sport academy kwenye kila wilaya.......ila tukiamua tunaweza badilika.......kingine ambacho nakiona kwa sasa kinaweza saidia sana ni huu ubadilishaji wa mifumo ya hizi club zetu pendwa na kongwe (Yanga na Simba)wakizibadilisha kwenda kwenye mfumo wa kampuni na kuwaka na uwekezaji na usimamizi mzuri tunaweza fika mbali
 
Fantastic point
 
Back
Top Bottom