SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 5,196
- 8,022
Uganda kwa story za undugu na ushirikiano zote tunazoambiana wameshindwa kuja kuchezea mechi yao hapa hapa au matengenezo ya uwanja yamekwamisha?Nchi ya Uganda miundombinu yake ni mibovu sana kama ilivyokuwa Tanzania ya awamu ya 3, na 4, na Tanzania tunarudi miaka kumi Nyuma, Miundombinu yetu haifanyiwi marekebisho baraba zinaanza kuchoka, Uwanja wa mkapa umechakaa kuta zimebadilika rangi nyasi zimechoka.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app