Kwanini swali kuhusu camera mahali aliposhambuliwa Tundu halijawahi jibiwa popote?

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,140
27,100
Wakuu toka mjadala wa kushambuliwa kwa Tundu Lissu kumekuwa na shutuma kwamba CCTV camera ziling'olewa na hazijulikani zilipo...

Hili suala limekuwa likijirudia kila kukicha ma si serikali, bunge wala Musiba aliyeweza kutolea ufafanuzi...

Je ni kweli camera zilitolewa? Hata kama zilitolewa wanashindwa hata kudanganya kwamba hazikuwepo kabisa??
 
Macho ya Mungu yalikuwepo na kamwe hawawezi kuyaondoa
 
Hilo tukio la mashambulizi halikuwa na plan B, hata aliyezing'oa camera hakuwa na plan B ya kuja kukabiliana na haya maswali ili afiche udhalimu huo.

Yaaani baada ya kuzing'oa alishindwa kuweka camera mbovu....

NB: Madhara ya damu isiyokuwa na hatia ni makubwa sana.
 
Kwani camera ziling'olewa baada au kabla ya tukio?! Na huwa hazina recording tape au zenyewe zuna nasa na kutunza records.
 
Back
Top Bottom