Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 47,046
- 122,430
Nchi za wanzetu wakitaka kufanya uhalifu, utafiti unafanyika kwa kina na kwa muda mrefu kwa kuzingatia hatua zote.Unakumbuka wale wataalam wao wa IT wakati wa uchaguzi 2015?! Zitakuwa huko.
Ila hawa wa kwetu wasiojulikana lakini wanajulikana, mbinu waliyokuwa nayo ni kuondoa walinzi lindoni na kufuatilia gari la Lissu nyuma, wakisahau matokeo ya tukio yatakuwaje na watapoteza uhalisia namna gani.
Wametupotezea risasi zetu 38 bure kabisa.