Tukıacha swala la ukanjanja wa Wahindi, kuna tatizo la vyuo vikuu vya Private kufungua university colleges Kiholela wakati hawana uwezo wa kuziendesha.
Wakati wa kuanza wanatakiwa mbali na miundombinu wanatakiwa pia wawasılishe Manpower squad walionayo. Hapa wanatumia wale wahadhıri wa vyuo mama kuanzısha haya matawi ambao kwanza hawatoshi huko walipo na matokeo yake wanaajili watumishi ambao ni underqualified.
Mimi nadhani tuondokane na sifa kwenye swala hili, hvyo vyuo visiitwe universities, viwe Institutes, angalia IFM, ISW,TIA, AIA NA RUSHOTO, mbona wanatoa technicians level 7 equal to bachelor na nı wazuri sana.
Anayemwandaa technician haimuhitaji kuwa proffesor bali yeyote mwenye practical skills kwenye eneo husika. Tutapata wataalamu wenye uwezo mkubwa.
University na Maprofessor waendelee huko kuandaa watawala.