Kwanini St. Joseph University hawachukuliwi hatua?

Jun 1, 2015
8
0
Nataka kujua hiki chuo kila mwaka wanafunzi hasa wa education hucheleweshewa hela yao na wanapogoma wanafukuzwa na serikali haisemi kitu.

Je, ni kweli kwamba kuna wakubwa wanahisa zao kwenye chuo hicho?

Ni wiki mbili sasa tangu waziri wa elimu afike pale chuoni lakini wanafunzi hawajarudisha kuna nini?
 
PIGIA MSTARI,wanajigamba kuwa kiko chini ya kanisa katoliki kumbe ni uongo mbichi maana hata lile shirikisho la madhehebu ya kikatoriki hawakitambui.:canada:
 
Kile siyo chuo bhana ni chuo kwa ajili ya biashara mtashangaa unagraduate half utaambiwa cheti chako hakitambuliki wakati unaomba ajira kazi kweli kweli
 
mi ni mmojawapo wa wanafunzi wapale na niko mwaka wa pili, mgomo uliotokea juzi sio wa hela sababu ni kwamba,jumanne yatarehe 2 waziri waelimu aliulizwa kuhusu hicho chuo akasema chuo anakitambua lkn alichodai kuwa yy anafahamu wanafunzi wote wanaosoma pale wanachukua diploma ya ualimu kitu ambacho sio na ndo mana wanafunzi wameamua kugoma
 
Kwa hyo hapo ulipo haujielewi unasoma degree ya ualimu au diploma ya ualimu???
 
acheni ushabiki nachojua mimi kimesajiliwa nacte na tcu pia. ukiwa na wasiwasi nenda ukahakiki huko .
 
nafahamu ambaye amemaliza hapo kozi isiyi ya ualimu na ameajiriwa serikalini na ana tenda kazi vyema
 
mi ni mmojawapo wa wanafunzi wapale na niko mwaka wa pili, mgomo uliotokea juzi sio wa hela sababu ni kwamba,jumanne yatarehe 2 waziri waelimu aliulizwa kuhusu hicho chuo akasema chuo anakitambua lkn alichodai kuwa yy anafahamu wanafunzi wote wanaosoma pale wanachukua diploma ya ualimu kitu ambacho sio na ndo mana wanafunzi wameamua kugoma

Mungu njoo haraka huku maaaaana ?????
 
yani ni shida mi nilikuwa najua nasoma degree lkn mwisho wa cku naambiwa nasoma diploma na wakati niaply chuo kupitia TCU au cku hz diploma wanapitiaTCU
 
kwa St joseph walianza kuchukua wanafunz wa edn mwaka 2013 ambao ndo second year jwa sasa,lkn campus ya Arusha ndo ilianzishwa mwaka huo lkn kwa st joseph ya Dar na Songea walikuwa na koz zingne kabla edn haijaanzishwa
 
Jana nimepokea sms hii "st. joseph univ,Bagamoyo univ,RUCO, kampala univ (kiu), serikali kuptia naibu katbu mkuu wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, Eng. Angelina E.mdete wmeaigza tcu kuvifuta vyuo hvyo katka orodha ya vyuo vikuu Tz, mpaka uchunguzi utakapokamilika" je ni kweli wadau
 
Tukıacha swala la ukanjanja wa Wahindi, kuna tatizo la vyuo vikuu vya Private kufungua university colleges Kiholela wakati hawana uwezo wa kuziendesha.

Wakati wa kuanza wanatakiwa mbali na miundombinu wanatakiwa pia wawasılishe Manpower squad walionayo. Hapa wanatumia wale wahadhıri wa vyuo mama kuanzısha haya matawi ambao kwanza hawatoshi huko walipo na matokeo yake wanaajili watumishi ambao ni underqualified.

Mimi nadhani tuondokane na sifa kwenye swala hili, hvyo vyuo visiitwe universities, viwe Institutes, angalia IFM, ISW,TIA, AIA NA RUSHOTO, mbona wanatoa technicians level 7 equal to bachelor na nı wazuri sana.

Anayemwandaa technician haimuhitaji kuwa proffesor bali yeyote mwenye practical skills kwenye eneo husika. Tutapata wataalamu wenye uwezo mkubwa.

University na Maprofessor waendelee huko kuandaa watawala.
 
Yodoki II;

Jamn matatizo yapo kwa mfumo wa serikal coz wameleta sias ad kwenye vtu vya mcngi kwa maendleo ya nchi ni aibu kumsomesha mtu kwa level ya degree thn at the end of the day unampa chet cha diplom it is non sense
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom