Kwanini Slaa hashiriki katika vipindi mbalimbali vya TV?

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
5,597
Reaction score
1,016
Nimekuwa nikifuatilia vipindi mbalimbali vya mijadala katika tv zetu, katika vipindi hivyo wamekuwa wakiwaalika watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa, mfano Profesa Lipumba, Jamesi mbatia, juliuas mtatiro na hata Maalim seif, lakini ni ngumu sana kumuona dk Slaa au Mbowe wakialikwa kwenye vipindi hivyo je ni uoga wa vituo hivyo kuwaalika watu hawa? Mfano kuna kipindi cha dakika 45 cha itv pili je tutafika cha chanel teni, tatu malumbano ya hoja, nne tuongee asubuhi cha star tv, kipima joto nk.
Je kwa nini hawashiriki!
 
Kwa sababu wao hoja zao zinajulikana kuwa ni orodha za mafisadi, kura kuibiwa, na hakuna kulala mpaka kieleweke!
Lakini akina profesa Lipumba, James Mbatia na wengine kawaida huwa wanauono mpana zaidi na huzungumzia kero na maendeleo kwa ujumla!
 
Dr.Slaa na Mbowe ni Lords of Negative thinking empire! Wao ni kulipuka tu wanadhani siku wakishika dola basi matatizo ya Nchi yatayeyuka kama barafu juani ! Hovyo ! Hao ni watu wenye upeo mdogo sana waliojificha katika kivuli cha mikusanyiko ya watu wengi wenye upeo mdogo hapa Nchini.Kazi yao kujadili watu na matukio.Kama unabisha jiulize ni kwa nini Dr.Slaa na Mbowe wanapenda sana hatakama hawakuwa kwenye mikutano ya kisiasa lakini wanapenda sana wanapotolewa kwenye ukurusa wa mbele basi picha zao ziambatane na mikusanyiko ya watu wengi! Nchi ikishikwa na viongozi wenye upeo mdogo kama Dr.Slaa na Mbowe ni bora kuhamia Nchi nyingine!
 
Mbona huwa wanahojiwa sana? Wewe unataka tu kuwaona taswira zao.haipiti cku tatu kina slaa hawajarushwa ktk media nyingine.HAO wengine huwa wanatoa mpunga kwa waandaaji waalikwe ktk vpindi vya luninga.
 
Dr.SLAA siyo mtu wa kuuzauza sura kifisadi kama wapendavyo magamba. Yeye huhojiwa kwa sababu maalum zenye tija kwa taifa na siyo kuuza sura.
 
Dr.Slaa na Mbowe ni Lords of Negative thinking empire! Wao ni kulipuka tu wanadhani siku wakishika dola basi matatizo ya Nchi yatayeyuka kama barafu juani ! Hovyo ! Hao ni watu wenye upeo mdogo sana waliojificha katika kivuli cha mikusanyiko ya watu wengi wenye upeo mdogo hapa Nchini.Kazi yao kujadili watu na matukio.Kama unabisha jiulize ni kwa nini Dr.Slaa na Mbowe wanapenda sana hatakama hawakuwa kwenye mikutano ya kisiasa lakini wanapenda sana wanapotolewa kwenye ukurusa wa mbele basi picha zao ziambatane na mikusanyiko ya watu wengi! Nchi ikishikwa na viongozi wenye upeo mdogo kama Dr.Slaa na Mbowe ni bora kuhamia Nchi nyingine!
Hapa umenena kiushabiki zaidi. Unataka kutuambia kuwepo kwako nchini kwa sasa ni kwa sababu"mkuu wako wa kaya" ana upeo mkubwa kuliko Dr.Slaa na Mhe Mbowe?
 
Mbona husemi Kikwete kutokea ktk vipindi mbalimbali? Kwann ufikirie Dr. Slaa & Mbowe? Wanakazi ya kukijenga chama, matawi mangapi yamefunguliwa, chaguzi mbalimbali kushiriki kikamilifu, kusimamisha madiwani nchi zima, s/mtaa na wabunge, mbona nchi inaongozwa na Cdm kwani huna habari? Kina mbatia, Lipumba hawana dira na mikakati ya kuingia Ikulu, watibuaji na matawi ya magamba, inamaana siasa za Tz huzijui.
 
Dr.Slaa na Mbowe ni Lords of Negative thinking empire! Wao ni kulipuka tu wanadhani siku wakishika dola basi matatizo ya Nchi yatayeyuka kama barafu juani ! Hovyo ! Hao ni watu wenye upeo mdogo sana waliojificha katika kivuli cha mikusanyiko ya watu wengi wenye upeo mdogo hapa Nchini.Kazi yao kujadili watu na matukio.Kama unabisha jiulize ni kwa nini Dr.Slaa na Mbowe wanapenda sana hatakama hawakuwa kwenye mikutano ya kisiasa lakini wanapenda sana wanapotolewa kwenye ukurusa wa mbele basi picha zao ziambatane na mikusanyiko ya watu wengi! Nchi ikishikwa na viongozi wenye upeo mdogo kama Dr.Slaa na Mbowe ni bora kuhamia Nchi nyingine!
Mafisadi at work (kimvuli cha Chadema kitawatesa sana)
 
You have used a great name ,while you are thinking very low na kutema pumba .What do you think politics is kama si matukio ? Unadhani siasa ni safari za nje kila siku na uongo makujwaani na kutumia polisi ku supress wapinzani?Kweli wewe ni bure na mtupu siasa ni matukio ya kila siku na hata US juzi Obama alikuwa analia na kumuua Osama ama wewe huko Musoma unavua tu samaki hujui ya Duniani ?
 
mi naona labda ni woga wa waendesha vipindi!
 
Huwa nawasikia BBC,DW. V.O.A na media zingine zinazosikika duniani.Hadhi ya Dr Slaa siyo ya kipindi kama dk 45 huko kunawafaa akina Wasira,lusinde na mwigulu kwa sababu havina tofauti na vipindi vya Mariam Migomba.
 
Kwa sababu hajui kiswahili wala kiingereza, na anapozungumza anachanganya maneno ya kiswahili na kiingereza bila ya kuleta mantiki yoyote. Na ndiyo maana hata chadema wenyewe wakitaka kuzungumza na watu wasiokuwa na asili ya ukanda wa chadema huwa wanamtumia Zitto, na siyo padri weapon.
 
Labda hujui maana ya media!
Mbona wana hojiwa sana,au wewe uko nchi gani?

Nimekuwa nikifuatilia vipindi mbalimbali vya mijadala katika tv zetu, katika vipindi hivyo wamekuwa wakiwaalika watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa, mfano Profesa Lipumba, Jamesi mbatia, juliuas mtatiro na hata Maalim seif, lakini ni ngumu sana kumuona dk Slaa au Mbowe wakialikwa kwenye vipindi hivyo je ni uoga wa vituo hivyo kuwaalika watu hawa? Mfano kuna kipindi cha dakika 45 cha itv pili je tutafika cha chanel teni, tatu malumbano ya hoja, nne tuongee asubuhi cha star tv, kipima joto nk.
Je kwa nini hawashiriki!
 
Kwa sababu wao hoja zao zinajulikana kuwa ni orodha za mafisadi, kura kuibiwa, na hakuna kulala mpaka kieleweke!
Lakini akina profesa Lipumba, James Mbatia na wengine kawaida huwa wanauono mpana zaidi na huzungumzia kero na maendeleo kwa ujumla!

Naona majibu yako hayana tofauti na umri wako na jina lako. unastahili kusamehewa bure.
 
Vituo vyenyewe ni hivi vya wamiliki wa kujikomba, vilishachimbwa biti hakuna kuwahoji hawa jamaa, ndio umuhimu wa chadema media unapoonekana.
 
Back
Top Bottom