Kwanini sitapiga kura

Kwanini sitapiga kura

Rapha

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
634
Reaction score
201
1. Mgombea yoyote atakayepata madaraka kwangu ni sawa (sina maslahi binafsi na mgombea yoyote yule, wala chama chochote kile).

2. Kwanini niende nikapange foleni kumpa mtu nafasi ya kupata mamilion ya pesa kama mshahara na kupata kiinua mgongo cha mamilion ambayo hayatanifaidisha chochote. (Especially kwa post ya wabunge)

3. Wote wanaogombea wanataka fursa ya kutawala, kumiliki na kuzitumia bila kikwazo tunu tulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu, hivyo sina sababu ya kwenda kumpa mtu nafasi ya kuzivuna tunu za nchi yangu pendwa.
Ninacho amini mimi, wagombea wote ni wanasiasa na wanasiasa wote ni waogo.
 
We unahitajika kupimwa ubongo
Utakuwa na likegi kwenye ubongo sio bure
Au la sivyo utakuwa mnyarwanda
 
Jinga kabisa wewe..

Kwahiyo unafikiri hakuna umuhimu wa kuwa na Viongozi????
 
1. Mgombea yoyote atakayepata madaraka kwangu ni sawa (sina maslahi binafsi na mgombea yoyote yule, wala chama chochote kile).

2. Kwanini niende nikapange foleni kumpa mtu nafasi ya kupata mamilion ya pesa kama mshahara na kupata kiinua mgongo cha mamilion ambayo hayatanifaidisha chochote. (Especially kwa post ya wabunge)

3. Wote wanaogombea wanataka fursa ya kutawala, kumiliki na kuzitumia bila kikwazo tunu tulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu, hivyo sina sababu ya kwenda kumpa mtu nafasi ya kuzivuna tunu za nchi yangu pendwa.
Ninacho amini mimi, wagombea wote ni wanasiasa na wanasiasa wote ni waogo.

Mkuu kama hupigi kura si ungekaa kimya tu na lako moyoni!!!?. Usidanganye watu, siku zote anayekwenda kujinyonga huwa hasemi.
 
Hugu gujinga kweli,tatizo gunajuwa kusoma na kuandika tu,ndo sera zamajitu mapumbavu kama haya,jitu kama hili ndo likienda bungeni utasikia ndiyooooooo gunalala mikaaaaaa halafu gunasema naunga mkono hoja 100%
 
naungana na wachangiaji wengi waliokujbu,jb linalofanana... unafanya kazi,kama yes,aliekusail alifanya kosa il hali ye hali mshahara wako.
 
naungana na wachangiaji wengi waliokujbu,jb linalofanana... unafanya kazi,kama yes,aliekusail alifanya kosa il hali ye hali mshahara wako. MJINGA KABISA ALIEKUPA KAZI..UNAPATA MSHAHARA BWANA,MJINGA KABSA MWALIMU ALIEKUFUNDISHA UMEJUA KUANDIKA UTUMBO HUMU.
 
Wadau, hebu angalieni hizi takwimu hapa chini halafu mweney kujua atujuze kwa nini mwaka 2010 umekuwa kama outlier, yaani hiyo spike sio ya kawaida, kama unachora graph itakutisha kwa jinsi inavyoshuka ghafula. Can anyome tells me kwa nini iwe hivyo, is there a need ya additional evidence ya kuwaambia NEC kuwa uchaguzi huu ulikuwa batili? na kuwa waliondoa karibu asiimia 30 ya wapiga kura. I want to believe kuwa waliojitokeza kupiga kura mwaka huu walikuwa 80% au zaidi. Loh kweli Dr Slaa aliibiwa kinyama, JK huo sio uungwana mwana

year voter turn out
1965- 77.1%
1970- 72.2%
1975- 81.7%
1980- 75%
1985- 75%
1990- 74.4%
1995- 76.7% (Mkapa won by 61.82%, Mrema got 27.7%)
2000- 84.4%(Mkapa won 71.7%, Lipumba got 16%)
2005- 72.4% (JK won by 81% , Lipumba got 11%)
2010- 42.64%(JK won by 61.17%, Dk. Slaa got 26.34%)

source of data: African elections database Elections in Tanzania

Hebu angalieni hizo data... 2010 ni asilimia 42 tuu walioenda kupiga kura mnataka kuniambia asilimia 58 ya watanzania waliojiandikisha kupiga kura 2010 ni MAJINGA kabisa?
 
Ficha Upumbavu wako;
Usiifiche Hekima yako!
:coffee:

[TABLE="width: 288"]
[TR]
[TD="width: 144"]Registered Voters
[/TD]
[TD="width: 144"]20,137,303
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 144"]Total Votes (Voter Turnout)
[/TD]
[TD="width: 144"] 8,626,283 42.8%
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

2010 Data umewahi kujiuliza kwann watu hawaendi kupanga lile lifoleni kupiga kura?
 
I agree with you that they are all evils but go and vote for less evil.

Back
Top Bottom