Kwanini sitapiga kura

Kwanini sitapiga kura

Tatizo la Watz ni kuwa na tabia ya udont care..lzm ujali issue delicate km uchaguzi..unalalamika abt the govt wakati u hv the nafasi ya kuitengeneza mwnyw..usiboe

Mkuu... Nafasi hiyo ipo mikononi kwa NEC (CCM),
CUF yupo LIPUMBA (the one and only)
CHADEMA honestly sifahamu jinsi wanavyompendekeza mgombea katika chama chao (kama waliomuomba Slaa agombee in 2010) kama kuna mtu anawafaham ni vyema akatujulisha.
 
Hivi unategemea mwaka huu watu walivyo na uelewa Kuna Mtu wa kudanganya tena??
 
Una kitu kimoja tu ambacho wanasiasa wote wanakitaka - kura yako. Kura yako yatosha kuamua matokeo ya uchuguzi. Kura yako ina nguvu ya kuongea na wanasiasa kwamba wahitaji kuishi katika nchi yenye mfumo au sera zipi.
Ingekuwa siasa haitusaidii chochote basi tusingekuwa twahangaika kutaka kujua bajeti ya mwaka ya serikali - hususani katika mabadiriko ya mishahara na ushuru wa vitu mbalimbali...
 
Hata mm nilikuwa na mawazo kama ya huyu jamaa, ingawa najua umuhimi wa kupiga kura, lakini kiukweli sijaona mwenye uchungu na hii nchi! Nikimuona nitakuwa mpiga kampen na mpiga kura wa kwanza siku ya kupiga kura
 
Hakuna aliyenijibu kwann nikapige kura
Hata mimi sitaenda kupiga kura! Mgombea anaetaka nimpigie kura anilipe 50000/ sipotezi muda wangu kwa maslahi ya mtu mwengine.
 
Mtoa post una akili sana na mtazamo mkali. Kwa hakika kwa mtu mwenye kutafakari atakuelewa sana kwa hoja ulizo toa, Mimi nakuunga mkono.
 
Una kitu kimoja tu ambacho wanasiasa wote wanakitaka - kura yako. Kura yako yatosha kuamua matokeo ya uchuguzi. Kura yako ina nguvu ya kuongea na wanasiasa kwamba wahitaji kuishi katika nchi yenye mfumo au sera zipi.
Ingekuwa siasa haitusaidii chochote basi tusingekuwa twahangaika kutaka kujua bajeti ya mwaka ya serikali - hususani katika mabadiriko ya mishahara na ushuru wa vitu mbalimbali...

Siasa inatusaidia sana, Ila wanasiasa tulionao wanatusaidia? Na je wanaogombea wote unaona wapo wenye mtazamo wa kubadilisha mfumo wa maisha yetu kiutawala na kiuchumi positively??
 
Hivi unategemea mwaka huu watu walivyo na uelewa Kuna Mtu wa kudanganya tena??

Lowasa (ex CCM) vs Magufuli (CCM) whoever wins CCM wins, why should I go to vote mkuu!?
 
Nenda kapige kura sahihi. Tuwafunze adabu wachaga.
 
Atashindaje wakati wewe hutaki kupiga kura ?

Watu wote wakiwa na akili kama zako huyo atakayeshinda atashinda kivipi ?!

Elewa mkuu, sijasema sitaki dola iundwe... ila sioni tofauti yoyote kati ya wagombea wa kuongoza dola hiyo. that means yoyote atakaye shinda mambo yatakua ni haya haya... police walewale utaratibu uleule sheria zilezile bajet zilezile jeshi lilelile viwanda na sera mbalimbali zitakua zilezile.
why should i vote?
 
Mana kwa watanzania hii ni haki yao ya katiba kumpata kiongozi atakaye simamia kodi kodi zao ili zitumike kuimarisha huduma za jiko jamii
 
Back
Top Bottom