both however in different ratio. you:him/her 1:100000000000who will benefit from my vote? me or them??
Hugu gujinga kweli,tatizo gunajuwa kusoma na kuandika tu,ndo sera zamajitu mapumbavu kama haya,jitu kama hili ndo likienda bungeni utasikia ndiyooooooo gunalala mikaaaaaa halafu gunasema naunga mkono hoja 100%
1. Mgombea yoyote atakayepata madaraka kwangu ni sawa (sina maslahi binafsi na mgombea yoyote yule, wala chama chochote kile).
2. Kwanini niende nikapange foleni kumpa mtu nafasi ya kupata mamilion ya pesa kama mshahara na kupata kiinua mgongo cha mamilion ambayo hayatanifaidisha chochote. (Especially kwa post ya wabunge)
3. Wote wanaogombea wanataka fursa ya kutawala, kumiliki na kuzitumia bila kikwazo tunu tulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu, hivyo sina sababu ya kwenda kumpa mtu nafasi ya kuzivuna tunu za nchi yangu pendwa.
Ninacho amini mimi, wagombea wote ni wanasiasa na wanasiasa wote ni waogo.
[TABLE="width: 288"]
[TR]
[TD="width: 144"]Registered Voters
[/TD]
[TD="width: 144"]20,137,303
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 144"]Total Votes (Voter Turnout)
[/TD]
[TD="width: 144"] 8,626,283 42.8%
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
2010 Data umewahi kujiuliza kwann watu hawaendi kupanga lile lifoleni kupiga kura?
1. Mgombea yoyote atakayepata madaraka kwangu ni sawa (sina maslahi binafsi na mgombea yoyote yule, wala chama chochote kile).
2. Kwanini niende nikapange foleni kumpa mtu nafasi ya kupata mamilion ya pesa kama mshahara na kupata kiinua mgongo cha mamilion ambayo hayatanifaidisha chochote. (Especially kwa post ya wabunge)
3. Wote wanaogombea wanataka fursa ya kutawala, kumiliki na kuzitumia bila kikwazo tunu tulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu, hivyo sina sababu ya kwenda kumpa mtu nafasi ya kuzivuna tunu za nchi yangu pendwa.
Ninacho amini mimi, wagombea wote ni wanasiasa na wanasiasa wote ni waogo.
ni kwasababu ya ujinga na upumbavu kama wako,
we jinga la kwanza tanzania kama ulikuwa hujui jua kuanzia leo
Tafsiri halisi ya kutopiga kura, wewe kama ni mtanzania na umefikisha umri wa kupiga kura na husipige kura ni kukataa serikali au dola iundwe maana yake ni nini hupaswi kulalamika kwa chochote kwa serikali itayopatikana baada ya wachache kukubali iundwe.
Uwe umebakwa hupaswi kushtaki wala kulalami mahali popote
Umevunjiwa kimeza chako cha biashara kaa kimya
umeibiwa kaa kimya
umetukanwa kaa kimya
wanao wamenajisiwa kaa kimya
Umegongwa na kuvunjwa kiuno kaa kimya
hii inamaanisha huna haki yoyote ile narudia huna haki yoyote ile kulalamika wala kwenda kushtaki mahali popote pale maana hukutaka serukali iundwe, wewe kobe angalia maslahi mapana acha kukunja ubongo wako mfukoni.
Kama unafikiria kuibiwa tu na kuwanufaisha wengine ulitaka anufaishwe nani ili ukapige kura???
Majitu kama haya hayatakiwi kuishi kabisa
Then, chagua upinzani. You know, to break hegemony and complacency. Hata kama unafikiri opposition ni dhaifu, just vote for them. In the end, your vote will contribute to improving governance and making the society better off. Architect wa multi-partism hawakufikiri kwamba vyama vya upinzani vitakuwa mbadala mzuri wa chama tawala (there is no guarantee). Walifikiri kwamba multi-partism inatoa fursa kwa wapiga kura kuadhibu watawala, bila kujali ubora wa upinzani/alternative. And through that process, taasisi imara zitajitokeza. Sema tu tumetawaliwa na false consciousness but it's not healthy to vote for the same government more than twice. We have stayed with the same government for over 50 years now! (Are we crazy?). For that reason, Tanzania is not even a democracy.
Mkuu, i think in the period of 2010-2015 upinzani was strong than ever.. what about the performance of the government? was it improved in a better way than the past government? if yes then ill vote for opposition if no ill go bac to my topic.

Mpigie EL hutajuta