Kwanini sitaki kupata mtoto

Kama ni mtu wa Mungu, omba akujalie mtoto au watoto unaoweza kuwalea. Wazazi wako wangeamua kama wewe ungekuwepo?
 
Mkuu kuna kitu umekificha kuhusu wewe. Wanasaikolojia wenzangu watakiona au watakuja kuniprove wrong, Uko na tatizo la kiafya kuhusu productivity yako na unachokifanya now ni kuiweka mindset yako isiamini kabisa umuhimu wa kuwa na familia yako. Pili hauko sawa kwenye akili yako, kuna kitu kimekutokea utotoni mwako au kuhusu familia yako na haujakifuraia. Pole sana mkuu take it easy utapona tu.
 

Kwa kifupi hii Mada yako nimeielewa sana, acha wajinga wa humu jf wakuponde coz hawajielewi so hawawez kukuelewa flamini
 
Friend ask for my change I say *** you
 
Ata baba ako angesema ivo usingekuwa nyuma ya keybody na kuandika upuuzi wako apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…