Kwanini sisi wengine (wengi) hatuna barabara nzuri za mitaani kama Mikocheni, na Upanga? Au hatustahili na hao ndio wananchi sana?

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
221
Reaction score
659
Wakuu,

Nimejikuta tu najiuliza maswali, kwanini sisi wengi maeneo yetu njia za mtaani ni songombingo hasa kipindi cha mvua, yaani ukitaka kutoka nje mpaka uite mizimu kwanza ukisaidie kupata ujasiri wa kupita😂😂

Sisi wa maeneo mengine kama Sinza, Manzese, Mbezi Beach, Tegeta, Bunju, Kimara, Kigamboni, nk, tofauti na Mikocheni, Upanga, Masaki, na Temeke (kiasi chake wamejitahidi kule) hatustahili kuwa njia nzuri za lami au zege mitaani? Hatuna hiyo hadhi? Au wenzetu ndio wananchi sana sisi wengine tuko vipande jina la wananchi halitutoshi hivyo hatustahili kupata huduma nzuri?

Kuna njia ukipita kama hujapita inabidi usimame kama dk 5 hivi ili upige hesabu za kupita usije ukateleza, ukaanguka ukavunjika utulie nyumbani kujiuguza, mtu mwenyewe ni ansesta wa miaka 30 na kuendelea ukivunjika mfupa unachukua miaka kuungua😂😂😂

Utani pembeni Wakuu, kwanini sisi wengine tunatengwa kupatiwa barabara nzuri?

Na sasa hivi hata danganyatoto za kuchongewa barabara hakuna, yaani tumetelekezwa, tuko kama wahamiaji haramu ambao tumeachwa tu tukae bila usumbufu!🥲

=======
Umesahau sehemu kubwa wilaya ya Temeke kama Yombo, Buza karibia yote .. Hawa jamaa waliulaga sana. Barabara zina lami/nzege na mifereji mikubwa na taa za barabarani.. hata hizo za upanga zikasome.

Kama upo ubungo sijui kinondoni sijui kibamba kazi ipo

1000518538.jpg

1000518537.jpg
 
Huko ndiko kura nyingi za uraisi CCM hupatikana

Ni ngome ya CCM
 
Wakuu,

Nimejikuta tu najiuliza maswali, kwanini sisi wengi maeneo yetu njia za mtaani ni songombingo hasa kipindi cha mvua, yaani ukitaka kutoka nje mpaka uite mizimu kwanza ukisaidie kupata ujasiri wa kupita😂😂

Sisi wa maeneo mengine tofauti na Mikocheni, Upanga, Masaki hatustahili kuwa njia nzuri za lami au zege mitaani? Hatuna hiyo hadhi? Au wenzetu ndio wananchi sana sisi wengine tuko vipande jina la wananchi halitutoshi hivyo hatustahili kupata huduma nzuri?

Kuna njia ukipita kama hujapita inabidi usimame kama dk 5 hivi ili upige hesabu za kupita usije ukateleza, ukaanguka ukavunjika utulie nyumbani kujiuguza, mtu mwenyewe ni ansesta wa miaka 30 na kuendelea ukivunjika mfupa unachukua miaka kuungua😂😂😂

Utani pembeni Wakuu, kwanini sisi wengine tunatengwa kupatiwa barabara nzuri?

Na sasa hivi hata danganyatoto za kuchongewa barabara hakuna, yaani tumetelekezwa, tuko kama wahamiaji haramu ambao tumeachwa tu tukae bila usumbufu!🥲
Kkoo yenyewe mitaa kibao haina barabara..wala hakuna kiongozi anaye jali hata huyu zuzu mkuu wa mkoa yupo yupo tu yeye kushangaa cement na matairi kuuzwa kkoo ila ashangai kkoo kuwa na barabara za vumbi hadi sasa..
 
Umesahau sehemu kubwa wilaya ya Temeke kama Yombo, Buza karibia yote .. Hawa jamaa waliulaga sana. Barabara zina lami/nzege na mifereji mikubwa na taa za barabarani.. hata hizo za upanga zikasome.

Kama upo ubungo sijui kinondoni sijui kibamba kazi ipo
Mimi mwenyewe nilishangaa nilipofika buza
 
Kkoo yenyewe mitaa kibao haina barabara..wala hakuna kiongozi anaye jali hata huyu zuzu mkuu wa mkoa yupo yupo tu yeye kushangaa cement na matairi kuuzwa kkoo ila ashangai kkoo kuwa na barabara za vumbi hadi sasa..
Kariakoo wafanyabiashara hawako tayari kufunga biashara kupisha ujenzi wa barabara
 
Kwa hiyo zilizo jengwa zilijengwaje ikiwemo ya mwendo kasi ? Pia wewe ujui kitu ujenzi wa barabara siyo kufunga mitaa pia biashara za kkoo zinavyo fanyika wewe ujui ..kitu kingine vibarabara vya mitaa kkoo ni vifupi tu ni chini ya nusu kilometa
 
Umesahau sehemu kubwa wilaya ya Temeke kama Yombo, Buza karibia yote .. Hawa jamaa waliulaga sana. Barabara zina lami/nzege na mifereji mikubwa na taa za barabarani.. hata hizo za upanga zikasome.

Kama upo ubungo sijui kinondoni sijui kibamba kazi ipo
nlitaka nimjibu kama ulivomjibu. afu mm hua najiuliza hivi ilikuaje mpaka barabara za mtaa za yombo n nzuri vile na zna taa za barabaran kabisa lakn barabara kuu ya kutoka tandika-buza haina taa. zle barabara za mtaa zilijengwaga mwaka gan na je zlijengwa na mbunge au? kila nikiziona hua najiuliza what's the motive behind the construction of this beautiful roads?
 
Tunaoshi ukonga tuna tabu aisee kama tupo gerezani yani sio mitaa wala barabara kuu ni mashimo na vumbi nilishangaa sana nilivyofika kilakala yombo ni full mkeka mpaka chochoro sijui hii inakuwaje
 
Kwa hiyo zilizo jengwa zilijengwaje ikiwemo ya mwendo kasi ? Pia wewe ujui kitu ujenzi wa barabara siyo kufunga mitaa pia biashara za kkoo zinavyo fanyika wewe ujui ..kitu kingine vibarabara vya mitaa kakoo no vifupi tu ni chini ya nusu kilometa
Isiwe kesi Wahame kariakoo wahamie kwenye barabara nzuri
 
Hakuna mahali penye bara bara mbovu huku Dar kama Mikocheni,!barabara karibu zote zinavuja chemba za maji machafu..!
Siju hawa matajiri walimkosea nini Mungu.
 
Hakuna mahali penge bara bara mbovu huku Dar kama Mikocheni,!barabara karibu zote zinavuja chemba za maji machafu..!
Ina maana watu wa mikocheni mnajisaidia sana ndio maana hadi chemba za maji machafu zinazidiwa punguzeni kijisaidia

Hilo sio tatizo la serikali ni lenu.Itisheni vikao muongelee hilo la kupunguza kujisaidia.Iwe ndio agenda kuu.
 
Umesahau sehemu kubwa wilaya ya Temeke kama Yombo, Buza karibia yote .. Hawa jamaa waliulaga sana. Barabara zina lami/nzege na mifereji mikubwa na taa za barabarani.. hata hizo za upanga zikasome.

Kama upo ubungo sijui kinondoni sijui kibamba kazi ipo
Jambo hili ni kweli
 
Tunaoshi ukonga tuna tabu aisee kama tupo gerezani yani sio mitaa wala barabara kuu ni mashimo na vumbi nilishangaa sana nilivyofika kilakala yombo ni full mkeka mpaka chochoro sijui hii inakuwaje
Labdam mlikosea kuchagua kipindi cha nyuma
 
Back
Top Bottom