miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
wewe vits yako cc950 tu baki nayo hapa hapa posta mwenge.....huko mkoa utapulizwa na abood utumbukie darajani ruvu!!!!!!
Bhana kunao watu wana roho ngumu niliwahi kukutana na moja jamaa anatoka Kahama anenda Dar!!!
Achana naye mamii saa zingine wanabwata ili kuonesha uwepo tu we stick kwa objectives!!!!nimelewa maneno ya bosi
kwani vitz siyo gari?
huyu Preta si ndio ana ile AMAROK....!!! nitamuomba hata lift siku moja
Kutembelea gari chini yaCC 3000 ni umaskini. Kama unabisha kawaulize Wamarekani.
aisee!!! ila ukishazoea unaweza kwenda nacho hata jo'burg!!! usalama mdogo sana
Yataka moyo haswaaa!!!!
Pamoja na uoga binafsi ila nadhani umbali kutoka bumper mpaka kwa dash board unaweza saidia kama likitokea la kutokea!!!!
Kuna jamaa marehemu hivi sasa alipata ajali na hii gari alivunjika sana miguu, nikaogopa zaid!!!
Nakikubali ki beemer mini cooper!!!kwenye SAFETY baby walker ziko nyuma sana....hii ni kwa sababu ya kubana matumizi ili visiwe vizito waweze kupata miles/gallon kubwa....na ukiweka factor hio ya kuwa na pua flat,kikiminywa tu bati zishakufikia tumboni!!!!!!!!!!!
na hapo nimetoa angalizo...je nisingetoa angalizo??!! hivi ukisafiri na kivitz zile abood au mohamed trans ukipishana nayo inakuwaje???!!!
Bhana kunao watu wana roho ngumu niliwahi kukutana na moja jamaa anatoka Kahama anenda Dar!!!
Bhana kunao watu wana roho ngumu niliwahi kukutana na moja jamaa anatoka Kahama anenda Dar!!!