Kwanini simu zingine za Android hazipati updates?

Kwanini simu zingine za Android hazipati updates?

mbambaguy

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
217
Reaction score
19
Hebu tujuzane kwa watu wa android phone sasahiv version ambayo ipo hot ni lollipop 5.0 after kit kat 4.4 kwanini kampuni zinigine za simu zinagoma kuiupdate kwenda lollipop nin tatzo katika hilo wakat makapuni mengne yote yana undergo hii changes bt zingine hazi provide.

Mfano sony wamesema wanatoa update za lollipop kwa Z series tu zngne haztapata huwa nn knashndkana kwa simu zingine.
 
Wanatoa matoleo mengi wakati hawana uwezo wa kuyahudumia yote.

Wamuige motorola kuanzia moto e, g hadi x zinapata updates.
 
wanatoa matoleo mengi wakati hawana uwezo wa kuyahudumia yote. wamuige motorola kuanzia moto e, g hadi x zinapata updates

Na ndo inatakiwa hivyoo, kampun imekuja vzur bt kwa hili naona wanafeli
 
Update means improvement kwenye previous version. Sio kwamba hawana uwezo suala ni product zilizokuwa sokoni zinauwezo wa kusupport that updates?

Mfano wa kuelewesha. Window7 ina run kwenye mashine yenye ram 512 lakin update take ambayo ipo katika new version window 8 haiwez ku run kwenye machine kama hizo.

Ukija kwenye android au iOS vilevile kuna vitu vingi vya kuconsider. Na ndio sababu makampuni yanatoa hizo update kwa aina za simu/tablet zinazoweza kusupoti.
 
Update means improvement kwenye previous version. Sio kwamba hawana uwezo suala ni product zilizokuwa sokoni zinauwezo wa kusupport that updates? Mf wa kuelewesha.

Window7 ina run kwenye mashine yenye ram 512 lakin update take ambayo ipo katika new version window 8 haiwez ku run kwenye machine kama hizo.

Ukija kwenye android au iOS vilevile kuna vitu vingi vya kuconsider. Na ndio sababu makampuni yanatoa hizo update kwa aina za simu/tablet zinazoweza kusupoti

Hapo kidogo nmekulewa.
 
Zinasuport ndio sababu minimum requirements za android 4.0, 4.1, 4.2, 4.3, 4.4 na hii 5 ni zile zile 512mb na unakuta simu zina specs sawa moja inapata update nyengine haipati.

Mfano mzuri angalia moto g, ilikuja na 4.3 ikapata update ya kitkat na sasa hivi imepata lolipop. ina ram 1gb na chip ya snapdragon 400. simu nyingi zina sd400 ila hazipati updates.
 
Hao Sony in bonge la wazushi simu Kama m2 hata mwaka haijamaliza halafu wanashindwa kusupport wakati lollipop iko released zaidi ya miezi sita sasa.
 
Update means improvement kwenye previous version. Sio kwamba hawana uwezo suala ni product zilizokuwa sokoni zinauwezo wa kusupport that updates?

Mfano wa kuelewesha. Window7 ina run kwenye mashine yenye ram 512 lakin update take ambayo ipo katika new version window 8 haiwez ku run kwenye machine kama hizo.

Ukija kwenye android au iOS vilevile kuna vitu vingi vya kuconsider. Na ndio sababu makampuni yanatoa hizo update kwa aina za simu/tablet zinazoweza kusupoti.
Kumbuka kwenye hizi currently version za android sifa mojawapo ni kuwa hizi version zita-run hata kwenye simu zenye specs ndogo, tatizo ni kama alivyosema Chief-Mkwawa makampuni mengi wanatengeneza brand nyingi kiasi wanashindwa kuzihudumia brand nyingine na kuzihudumia zile wanazoona zina masilahi makubwa kwao, chukulia Samsung alivyo na brand nyingi halafu kila brand aweke GUI ya touch wiz na kuitolea update, hapa nadhani itachukua miaka ili kila simu ipate version mpya halafu kumbuka Google naye hatakuwa kasimama huenda akawa ametoa tena version mpya ya android
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom