Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Nimekua nikishangaa wenzetu wa Visiwani kwanini Shule zao hazipo hata kwenye top 1,000 za Taifa katika mitihani ya Kidato cha Pili, Nne na Sita ?
Ni Kisiwa chenye watu wachache lakini sijawahi kusikia hata siku moja Chwaka Secondary imekua hata ya 1, 500 Tatizo ni nini kwa Wazanzibari.
Pia nimefanya Uchunguzi watoto wengi hufaulu somo moja tuu kwanini? yaani unakuta
Kiswahili-F
History- F
Civics-F
Geography- F
Mathematics-F
Physics- F
Biology-F
Chemistry-F
Elimu ya Dini ya Kiislamu- B
Naomba kuwasilisha.