Kwanini shetani anaogopa kuua mwanadamu?

ukija pupa hapa unatoka kapa huwezi kuelewa...
 
Kwani shetani anaogopa kuua binadamu? Ushahidi wa haya maneno yako unapatikana wapi?
Kaka niamini mimi, SHETANI ni muoga wa kuona DAMU ya mwanadamu, Kumbuka DAMU ni agano, Damu ni Uhai na Uhai ndiyo uumbaji wenyewe. Shetani hapendi kabisa kuona damu inamwagika ama binadamu wakifanya UZINZI. Yeye atasababsisha tu wewe utende dhambi hizi ila wakati wa kutenda hukaa mbali na kukucheka.

Haya yambo ni ya ulimwengu wa roho, ukifunguliwa utayajua; jitahidi kusali sana na kumuungamia Mwenyezi Mungu dhambi zako, ila kumbuka ukishaanza kufunga na kusali mfululizo SHETANI naye atakuwa sambamba na wewe kwamba umetangaza vita vitakatifu na yeye. kazi kwako.
 
Kwenye kitabu cha yakobo alinyimwa asiguse roho ya mtu!!
Kaka, ni kweli kabisa SHETANI hana mamlaka kukusa roho ya Mwanadamu, hakupewa mamlaka hayo kabisa na hawezi. Ila sisi wanadamu kupitia yeye tunatumia damu ya wanadamu kwa maambiko, tunauana wenyewe kwa wenyewe at the end yeye anakuwa mshindi.
 
Alikuwa na umbile gani? Na kwanini yeye alikuwa na hilo umbile tofauti na wengine?
Shetan ambae ndo IBIRIS laanatullah alayh. Yeye ni jini na ameumbwa kwa moto kama majini wengine na anajinsia kama majini wengine yani wapo wakike na wakiume na anazaa kama majini wengine. Kwa malaika wao nitifauti kabisa kwasababu wao wameumbwa kwa nuru na hawana jinsia yan hakuna malaika mwanamke au mwanaume na pia hawali chakula chochote.
 
FB_IMG_1459534434755.jpg

SHETANI ni kiumbe ambaye alikuwa Malaika na akiishi Mbinguni siku zile kabla hajaFanya uasi. Mwenyezi Mungu alimpenda na kumpatia nguvu na uwezo mwingi na kumfanya Malaika Pendwa huko mbinguni.

Baada ya UASI - Kujifanya yeye ni kama mwenyezi Mungu, Mungu alimpa adhabu ya KUMTUPA HAPA DUNIANI; ambapo ameungana nasi baada ya sisi wanadamu kutumbukia kwenye dhambi ya asili iliyosababishwa na udanganyifu wake kwetu.

SHETANI hayupo huru bado yupo kifungoni KUZIMU na amefungwa miaka 6666; ingawa yupo kule na timu yake bado amekuwa kinara wa maovu mengi hapa duniani, bado anashindana na uwezo wa Mwenyezi MUNGU na ubishi uliopo ni kwamba atahakikisha sisi wanadamu tunaacha kumwabudu Mwenyezi Mungu na tumwabudu yeye pekee yake.

SHETANI anataka kutuaminisha kwamba NGUVU ZAKE ni kali na zinatenda au kutoa majibu mubashara kwa wale watakaotaka kutumia kuringanisha na zile za MWENYEZI MUNGU ambazo unaweza kuomba ukazisubiri hadi ukazeeka na usizipate.

Lakini pamoja na hayo yote SHETANI ni Muoga mno wa kutoa ROHO YA MWANADAMU - Je umewahi kujiuliza ni kwa nini??? Fanya utafiti huo kwa kina.

Lakini cha ajabu MWANADAMU yeye haogopi kutoa roho ya mwanadamu mwenzake, iwe kwa maslahi yake au ya watu wengine, yawe ya kidini ama ya kisiasa lakini HAOGOPI kumuua mwanadamu mwenzake.

Mwanadamu hajajifunza kwa nini SHETANI ambaye pamoja na kuzijua baadhi ya SIRI ZA UUMBAJI WA MBINGU na DUNIA kwa nini abakie kuwa muoga mno wa kutoa UHAI WA MWANADAMU ? (Kumwaga damu ya Mwaandamu)

EEE MWANADAMU ULIYEZALIWA NA MWANAMKE - ACHA KABISA ACHA KABISA KUUA BINADAMU WENZAKO - ADHABU YAKE JUU YAKO WEWE NA KIZAZI CHAKO HADI CHA TATU NA NNE.

(Ujumbe mubashara kwa wauaji wote - acheni mara moja)

Tunaamini KIZAZI cha WAUAJI ni kizazi cha KAINI ambacho kililaaniwa milele baada ya MAUAJI ya Nduguye Abel.
cain-slaying-abel-jacopo-palma-1590.jpg
Umeandika uongo
 
Kazi kuu ya Shetani ni
Kuua
Kuiba
Kuharibu
Vile ambavyo vimeumbwa na Mungu.
Mambo hayo anayafanya kwa wale tu ambao hawamwabudu Mwenyezi Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi.
Kwa wale wanaomwabudu Mungu Shetani hawezi kuwadhuru kwani Mungu mwenyewe anawakinga na kuathiriwa na nguvu za Shetani.
Hivyo basi kama humwabudu Mungu kwa dhati au unamwabudu Shetani kwa kujua au kutokujua, wewe upo kwenye hatari ya kudhuriwa na Shetani mda wowote akikukusudia kwakuwa huna kinga Mungu.
Shetani anaua.
kaka, SHETANI hafanyi mambo hayo sababu anajua madhara yake katika ulimwengu wa roho, Kazi kuu ya SHETANI ni kukufanya wewe Mwanadamu utende mambo hayo huku yeye akikaa kando.

Anakaa KANDO sababu anajua kwa mfano ukiua, Damu ya Uhai ina madhara ya laana hadi kizazi chako na 3 na 4. Unaweza kujikuta una gundu la maisha kila unachofanya hakiendi kabisa, alaa kumbe mababu zako walikuwa wauaji na laana imekuangukia pia
 
Shetani anaogopa kumuua mwanadamu!????? Strange; hivi wachawi, waganga wa kienyeji wanatumia nguvu za nani!? Sorry, kwani freemason si ni dini ya shetani!??? Na wao hua wanafanya nini? SIo watu wa makafara!? Tena nasikia sometimes shetani mwenyewe hua anapenda watu wanao pendwa na hao members, so wanaua watu wanao pendwa na hao members and hence wao wenyewe hua wanasikia uchungu sana kuwapoteza wapendwa wao. For your information, kama shetani angejua mahali Mungu aliweka nguzo za hi dunia, huenda wote tungekua tumeisha uawa, but Mungu alimficha hiyo shetani na ndio maana tupo salama, shetani sio brother, yaani sio kabisa.
 
SHETANI hutumia Mwanadamu kutimiza azma yake ya kueneza uovu hapa duniani. Shetani ana uwezo wa kupenya ndani ya nafsi ya mwanadamu yoyote yule na kuongea nayo, ataijaribu kwa kila namna hadi ifanikiwe kutenda dhambi. ikitenda dhambi hapo ndpo furaha yake.

Freemason ni baadhi tu ya Ibada za kishetani, zipo za aina nyingi mno ambazo Mwanadamu huziita nguvu za SHETANI ili zitende jambo analokusudia kama ni kuua ili awe tajiri, kumfanya mtu awe msukule wa kuita mali, kusababisha ajali, kuunguza moto nyumba ya mwanadamu mwenzake; kuzini na wake za watu nk.
 
Kaka niamini mimi, SHETANI ni muoga wa kuona DAMU ya mwanadamu, Kumbuka DAMU ni agano, Damu ni Uhai na Uhai ndiyo uumbaji wenyewe. Shetani hapendi kabisa kuona damu inamwagika ama binadamu wakifanya UZINZI. Yeye atasababsisha tu wewe utende dhambi hizi ila wakati wa kutenda hukaa mbali na kukucheka.

Haya yambo ni ya ulimwengu wa roho, ukifunguliwa utayajua; jitahidi kusali sana na kumuungamia Mwenyezi Mungu dhambi zako, ila kumbuka ukishaanza kufunga na kusali mfululizo SHETANI naye atakuwa sambamba na wewe kwamba umetangaza vita vitakatifu na yeye. kazi kwako.
Maandiko please
 
SHETANI hafurahii kabisa Familia, Ukoo ama nchi ikiwa na amani, Yeye kazi yake ni kuleta mifarakano kati yenu ili yeye apate kufurahia utukufu wake - nia ni kuona Dunia nzima inakuwa cya hini himaya ya kishetani.

Kwa mfano nchi ikiwa na amani muda mrefu, yeye atafanya mbinu zote hata ikiwezekana kuwatafutia kiongozi ambaye either yeye atakuwa chanzo cha uovu ama ninyi watawaliwa ndiyo mtakuwa chanzo. Sasa mkianza mabishano lazima atawapa ujasiri wa kuuana, mkishamwaga damu yeye anafurahi na atamwambia Mwenyezi Mungu unaona hao, nilikwambia wote watakuwa kwenye himaya yangu tu.

Kumbuka SHETANI pamoja na kuwa kifungoni bado ana nguvu kubwa mno ya kupenya katika kila nafsi ya Mwanadamu na kujaribu kufanya yake - so we;re all not safe - sababu akishakukuingia wewe hutajijua, utafanya maamuzi unayoyajua wewe bila kujali madhara yatakayofuatia.

Kwa mfano ulishaona mtu na akili zake timanu akawachinja watoto wa kuzaa mwenyewe - tena wadogo kiasi kile?
Ulimsikia wap shetani akiongea huo ujinga ww
 
FB_IMG_1459534434755.jpg

SHETANI ni kiumbe ambaye alikuwa Malaika na akiishi Mbinguni siku zile kabla hajaFanya uasi. Mwenyezi Mungu alimpenda na kumpatia nguvu na uwezo mwingi na kumfanya Malaika Pendwa huko mbinguni.

Baada ya UASI - Kujifanya yeye ni kama mwenyezi Mungu, Mungu alimpa adhabu ya KUMTUPA HAPA DUNIANI; ambapo ameungana nasi baada ya sisi wanadamu kutumbukia kwenye dhambi ya asili iliyosababishwa na udanganyifu wake kwetu.

SHETANI hayupo huru bado yupo kifungoni KUZIMU na amefungwa miaka 6666; ingawa yupo kule na timu yake bado amekuwa kinara wa maovu mengi hapa duniani, bado anashindana na uwezo wa Mwenyezi MUNGU na ubishi uliopo ni kwamba atahakikisha sisi wanadamu tunaacha kumwabudu Mwenyezi Mungu na tumwabudu yeye pekee yake.

SHETANI anataka kutuaminisha kwamba NGUVU ZAKE ni kali na zinatenda au kutoa majibu mubashara kwa wale watakaotaka kutumia kuringanisha na zile za MWENYEZI MUNGU ambazo unaweza kuomba ukazisubiri hadi ukazeeka na usizipate.

Lakini pamoja na hayo yote SHETANI ni Muoga mno wa kutoa ROHO YA MWANADAMU - Je umewahi kujiuliza ni kwa nini??? Fanya utafiti huo kwa kina.

Lakini cha ajabu MWANADAMU yeye haogopi kutoa roho ya mwanadamu mwenzake, iwe kwa maslahi yake au ya watu wengine, yawe ya kidini ama ya kisiasa lakini HAOGOPI kumuua mwanadamu mwenzake.

Mwanadamu hajajifunza kwa nini SHETANI ambaye pamoja na kuzijua baadhi ya SIRI ZA UUMBAJI WA MBINGU na DUNIA kwa nini abakie kuwa muoga mno wa kutoa UHAI WA MWANADAMU ? (Kumwaga damu ya Mwaandamu)

EEE MWANADAMU ULIYEZALIWA NA MWANAMKE - ACHA KABISA ACHA KABISA KUUA BINADAMU WENZAKO - ADHABU YAKE JUU YAKO WEWE NA KIZAZI CHAKO HADI CHA TATU NA NNE.

(Ujumbe mubashara kwa wauaji wote - acheni mara moja)

Tunaamini KIZAZI cha WAUAJI ni kizazi cha KAINI ambacho kililaaniwa milele baada ya MAUAJI ya Nduguye Abel.
cain-slaying-abel-jacopo-palma-1590.jpg
daaah kwl mzee wakaz
 
Mkuu hicho kifungo cha miaka 6666 si kitakua kimeisha au kaongezewa miaka?
 
because he is not a killer....from the bible..the Mungu wa wa Israel ndie mwenye mikono inayonuka damu kuliko yeyote kwneye biblia. Soma biblia..kisha niambie ni wangapi wameuwawa kwa kumchukiza mungu...pia ni wngapi wameuwawa kwa kumchukiza shetani ..
 
Kwani shetani anaogopa kuua binadamu? Ushahidi wa haya maneno yako unapatikana wapi?
Fungua biblia yako kasome yakiyomtokea Ayubu

Jiulize kwa nini Shetani hakuigusa na kuiteketeza roho ya Ayubu?? Sababu uwezo wa kufanya hivyo kama angetaka alikua anao na anao hadi leo.
 
Mkuu hicho kifungo cha miaka 6666 si kitakua kimeisha au kaongezewa miaka?
Hasabu yake si kama hii ya kwetu; jamaa bado yupo kifunguni KUZIMU as we talk na anajua tunamuongelea muda huu.
 
Hahaha Mkuu kwa mujibu wa maandiko mr shetani kaukumiwa lini hicho kifungo?
 
Kabla cjamaliza kusoma uzi wako maomba nikurekebishe kidogo. Kwamba shetani hakuwa malaika bali alikuwa katika malaika ila na yeye alikua na umbile lake tofauti kabisa na malaika.
Fafanua mkuu....alikuwa na umbo gani??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom