Kwanini sherehe za CCM kitaifa huwa hazifanyiki Arusha au Moshi?

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,173
Leo wadau ni siku ambayo wana ccm wanaadhimisha miaka 38 tangu kuanzishwa kwa chama hicho , sherehe hizo zinafanyikia mkoani Ruvuma katika manispaa ya Songea.

Swali la kujiuliza kwa nini sherehe hizo wasingepeleka Arusha au Moshi kwani ni miaka mingi sana hawajawahi kuzishuhudia sherehe hizo.

Nadhani wangeenda maeneo yenye upinzani ingekuwa njia nzuri ya kuwashawishi wananchi kwamba wanaccm si wezi ila viongozi wake ndio wezi.
 
au hata sumbawanga tu na mtwara
 
Labda niulize pia ka swali ka ''kiintelijensia'' ni kwanini matendo maovu huwa yanafanyika gizani?
 
  • Thanks
Reactions: 999
Wee lini umeona swala anajipitisha pitisha mbele ya Simba mwenye hasira?
 
  • Thanks
Reactions: 999
Leo wadau ni siku ambayo wana ccm wanaadhimisha miaka 38 tangu kuanzishwa kwa chama hicho , sherehe hizo zinafanyikia mkoani Ruvuma katika manispaa ya Songea.

Swali la kujiuliza kwa nini sherehe hizo wasingepeleka Arusha au Moshi kwani ni miaka mingi sana hawajawahi kuzishuhudia sherehe hizo.

Nadhani wangeenda maeneo yenye upinzani ingekuwa njia nzuri ya kuwashawishi wananchi kwamba wanaccm si wezi ila viongozi wake ndio wezi.
Kwani chadema lini wamewahi kufanya mandamano moshi au kilimanjaro kwa ujumla.
 
Leo wadau ni siku ambayo wana ccm wanaadhimisha miaka 38 tangu kuanzishwa kwa chama hicho , sherehe hizo zinafanyikia mkoani Ruvuma katika manispaa ya Songea.

Swali la kujiuliza kwa nini sherehe hizo wasingepeleka Arusha au Moshi kwani ni miaka mingi sana hawajawahi kuzishuhudia sherehe hizo.

Nadhani wangeenda maeneo yenye upinzani ingekuwa njia nzuri ya kuwashawishi wananchi kwamba wanaccm si wezi ila viongozi wake ndio wezi.

Mikoa ni mingi itafika zamu tu ya kilimanjaro na arusha
 
Leo wadau ni siku ambayo wana ccm wanaadhimisha miaka 38 tangu kuanzishwa kwa chama hicho , sherehe hizo zinafanyikia mkoani Ruvuma katika manispaa ya Songea.

Swali la kujiuliza kwa nini sherehe hizo wasingepeleka Arusha au Moshi kwani ni miaka mingi sana hawajawahi kuzishuhudia sherehe hizo.

Nadhani wangeenda maeneo yenye upinzani ingekuwa njia nzuri ya kuwashawishi wananchi kwamba wanaccm si wezi ila viongozi wake ndio wezi.
Mbona huelewi mkuu, CCM kufanyia sherehe huko sawa na kuchezea shilingi chooni.
 
Leo wadau ni siku ambayo wana ccm wanaadhimisha miaka 38 tangu kuanzishwa kwa chama hicho , sherehe hizo zinafanyikia mkoani Ruvuma katika manispaa ya Songea.

Swali la kujiuliza kwa nini sherehe hizo wasingepeleka Arusha au Moshi kwani ni miaka mingi sana hawajawahi kuzishuhudia sherehe hizo.

Nadhani wangeenda maeneo yenye upinzani ingekuwa njia nzuri ya kuwashawishi wananchi kwamba wanaccm si wezi ila viongozi wake ndio wezi.
Maranyingi ukiruhusu mwili ubebe akili badala ya akili kubebe mwili haya ndiyo madhara yake sina uhakika kama unajitambua.
 
Wanaweza kuzifanyia huku lakini watapata aibu kwasababu wananchi wengi hawatofika pia hatawezakuwapata wanafunzi kwenda kufanya maonyesho ni ngumu Sanaa
 
ARUSHA NA KILIMANJARO KWENYE CHAGUZI ZA JUZI WAMEONGOZA CCM WILAYA ZOTE HATA KWA MBOWE HAI CCM IMESHINDA KARATU KWA SLAA CCM IMESHINDA.ACHENI PUMBA.dah!!!
 
Jiulize pia, Kwanini maandamano ya CHADEMA huwa hayafanyiki Moshi?
 
sikumbuki moshi lakini kama ni arusha uwanja wa sheikh amri abeid zimefanyika sana tu. jaribu kufanya utafiti kabla hujapost.

Leo wadau ni siku ambayo wana ccm wanaadhimisha miaka 38 tangu kuanzishwa kwa chama hicho , sherehe hizo zinafanyikia mkoani Ruvuma katika manispaa ya Songea.

Swali la kujiuliza kwa nini sherehe hizo wasingepeleka Arusha au Moshi kwani ni miaka mingi sana hawajawahi kuzishuhudia sherehe hizo.

Nadhani wangeenda maeneo yenye upinzani ingekuwa njia nzuri ya kuwashawishi wananchi kwamba wanaccm si wezi ila viongozi wake ndio wezi.
 
Leo wadau ni siku ambayo wana ccm wanaadhimisha miaka 38 tangu kuanzishwa kwa chama hicho , sherehe hizo zinafanyikia mkoani Ruvuma katika manispaa ya Songea.

Swali la kujiuliza kwa nini sherehe hizo wasingepeleka Arusha au Moshi kwani ni miaka mingi sana hawajawahi kuzishuhudia sherehe hizo.

Nadhani wangeenda maeneo yenye upinzani ingekuwa njia nzuri ya kuwashawishi wananchi kwamba wanaccm si wezi ila viongozi wake ndio wezi.

Na wewe jibu kwa nini Chadema huwa hawajawahi kufanya maandamano Kilimanjaro?Ukijibu hilo ukaeleweka nawe utajibiwa kwa ufasaha mkubwa.
 
Haa haa na mimi nina kaswali, kwa nini vyama vya upinzani havifanyi mikutano ya mara kwa mara ya kujenga vyama vyao mikoa ya kusini hasa ruvuma? Katika wilaya ya mbinga na hata namtumbo?
 
Back
Top Bottom