Kwanini sherehe za CCM kitaifa huwa hazifanyiki Arusha au Moshi?

Kwanini sherehe za CCM kitaifa huwa hazifanyiki Arusha au Moshi?

Watoto wote wako international school tena boarding,, chipukizi hawatopatikana....
Watu wazima wako bize kusaka noti, w'end ni kula bia na starehe kiujumla, sasa sijui utawapata wapi watu wa kuhudhuria hizo sherehe.
 
Wewe unadhani watapata wapi watu wa kuwasomba na malori? Watu wapo bize kugombea fursa kubwa kubwa! Hizo za tshirt hamna mtu anayeyaka, kama ni wali na magarage kuna migahawa kama kwa bam bam na kwa ngilo na dish mlima hata ukiwa na mia mbili unakula unashiba na chenji unarushiwa.
 
Hamuwezi kuja tena moshi mwaka 2009 mlijaribu kuzindulia kitaifa pale pasua sokon mkapata aibu ! Karume alivokuja akakutana na msururu wa viti vitupu mkaenda kumalizia shinyanga
Mikoa ni mingi itafika zamu tu ya kilimanjaro na arusha
 
Mtoa mada anaongelea miaka ya hivi karibun bhana! Wewe unaleta habari za enzi ya mfumo wa chama kimoja!
sikumbuki moshi lakini kama ni arusha uwanja wa sheikh amri abeid zimefanyika sana tu. jaribu kufanya utafiti kabla hujapost.
 
Hawataambulia watu coz hakuna ccm huku wanaenda kufanyia huko kwa mambulula
 
Arusha na Kilimanjaro hakuna mwananchi mwenye muda wa kwenda kuwasikiliza mafisadi. Hata jana songea watu wengi walikwenda kumwona Diamond Platinum.
 
Nimefurahi. Hakuna watu wenye ushamba wa kusombwa na Maroli. Pili Watu wahuko sio washamba na Diamond. Maana CCM hawawezi fanya mikutano bila Wasanii wakubwa. Jana bila Diamond ilikuwa Dorooo.
 
Mikoa ni mingi itafika zamu tu ya kilimanjaro na arusha
Wewe mikoa mingi ndio nini?Yaani birthday ya miaka 38 bado tuu KLM na Arusha?
Kama Lema alisema kweli kuhusiana na CCM kwenye mchango wake week iliyopita.
 
Mtoa mada anaongelea miaka ya hivi karibun bhana! Wewe unaleta habari za enzi ya mfumo wa chama kimoja!
wewe naona akili zako afadhali ya zamleta mada, huenda huyo umri wake ni mdogo. Kwenye uongozi huu huu wa Vasco Da Gama sherehe hizo zimewahi kufanyika Arusha, Mwanza na hata mwaka jana zilikuwa mbeya. Tanzania kuna mikoa zaidi ya 30 na sherehe hiyo ni kwa mwaka mara moja mkoa mmoja kitaifa na Kikwete anamiaka maximum 10 tu kwenye urais. akili zako naona kama matope vile. lengo la mleta mada ni kuhusu mikoa ambayo ina stronghold ya wapinzani, ndo maana nikakutolea mifano ya mkoa hiyo. usishangae nikakutukana ukiandika kinyesi tena, maana wakati mwengine sinaga simile kama mchungaji mtikila.
 
arusha ilifanyika lini kwa kipindi cha mkapa na vasco dagama! usiongeee baa baaa baaa kama bata anayeharisha, tunaishi mikoa hii kwa hiyo usitake kutudanganya hapa! vile vile kama nkutukana tukana tu maana hamna tusi new model ni yale yale hata kabla nchi haijapata uhuru

Back
Top Bottom