Kumbe Fujo
Member
- Mar 8, 2017
- 9
- 2
Rafiki yangu alifanyiwa upasuaji baada ya lazer kushindwa kukamilisha kazi yake,shida ilikuwa ni mikojo haitaki kutoka kabisa,[blocked urine]kwa karibu siku tatu mfululizo,umri wake ni 58,ana mke na watoto,ikabidi kwa haraka afanyiwe upasuaji,anashukuru upasuaji na matibabu yote kwa ujumla umefaulu,ana miezi saba toka afanyiwe upasuaji na anaendelea na kazi vizuri lakini amekuja kugundua hivi karibuni kama shahawa [sperms] hamna au haitoki kabisa,ameingiwa na hofu na kujaribu mbinu zote ili aweze kutoa shahawa lakini bila mafanikio,hamna hata tone moja halikutoka,anaomba tabibu yeyote amfahamishe kama hili ni jambo la kawaida au upasuaji una kasoro?.