Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,059
- 5,964
Airport.Uliza kwanza kwann CHATO kunajengwa internaional airport, ukijibiwa hilo na jibu la SGR litakuwa tayari mkichwani mwako!
Reli ya Kigoma Ipo na inatumika mpaka leo... Ila Jamaa swali lake kwanin Mwanza kwanza na sio Kigoma ambao miundombinu haijakaa sawa Bado??Hivi hamna reli inayo enda Kigoma kweli.. Nakumbuka kwenye maarifa ya jamii.. Wale wenzangu tukumbushane hapa
Mkuu ongea na figures badala ya hisia.Kigoma imetengwa kwa muda mrefu, kwenye miradi yote ya maendeleo imepelekewa ikiwa ýa mwisho. Barabara ya lami imepelekewa baada ya mikoa yote kuwa imeshaunganishwa. Umeme wa gridi, itakuwa ya mwisho kuunganishiwa, na hata reli ya SGR itakuwa ya mwisho maana shurti ifike Mwanza kwanza.
Kigoma imepakana na nchi mbili- Burundi na Kongo, Mwanza imepakana na nchi moja pekee Uganda. Pili, Kigoma ina changamoto nyingi za miundombinu, ilipaswa ipewe kipau mbele kuliko Mwanza ambayo ina miundombinu yote, Uwanja wa Ndege na barabara za lami zinazoiunganisha na mikoa yote.
Napenda kujua, kwa nini Mwanza wanatanguliziwa SGR kabla ya Kigoma wakati Kigoma ni lango kuu kupeleka na kupokea mizigo kutoka Burundi na Congo ukilinganisha na Mwanza ambayo ni Uganda pekee?
Vv
Nangulukulu ni mkoa mpya Tanzania? Rais ameshasema hataruhusu mikoa mipya kuanzishwa.Na wananchi wa Nangulukuru wasemaje.
Sio kosa, tungeweka vigezo na kuuliza kwa nini Kigoma kwanza badala ya kwingine.Ingeanza Kigoma mngeuliza tena kwa nini Kigoma
Nimeka hoja zangu qualitatively , hujaziona au hujazielewa? Pitia tena, kama hazijibiki, tulia.Mkuu ongea na figures badala ya hisia.
Qualitatively? Kama una muda soma hii....... https://www.tralac.org/documents/ne...port-observatory-annual-report-2017/file.html.Nimeka hoja zangu qualitatively , hujaziona au hujazielewa? Pitia tena, kama hazijibiki, tulia.
Vv
Mjinga na mpumbavu mkubwa!Hivi hamna reli inayo enda Kigoma kweli.. Nakumbuka kwenye maarifa ya jamii.. Wale wenzangu tukumbushane hapa
Umeoma eeeh... Yaani binadamu ni kusema tu,, Kwa kweli watanzani.. Tunahitaji Elimu kwa ukombozi... Kwani tuna watu wamesoma lakini hawajaelimika... (hawajakombolewa na Elimu waliyoipata)Ingeanza Kigoma mngeuliza tena kwa nini Kigoma