Sawa basi taja hata moja.zipo sababu nyingi sana ukitafuta utazipata , usiwe mvivu kufikiria.
Kwani Chadema inakusanya kodi igawe pikipiki.Sisi kama mvua ikiamua kunyesha inanyesha nchi nzima na hawana mpango wa kugawa kwa upendeleo na pia ni kazi nzuri ya Mkuu wa mkoa wa Arusha.
Naamini CHADEMA haiwez kugawa maeneo ambayo hajachaguliwa.
Serikali ikifanya majukumu yake mnasema rushwa.....dah binadamu kazi sana.Zirudisheni basi basi kama mnaona ni rushwa.
Hahahaa hahahaaaaaa.Huwezi kutongoza Mke wako unayelala nae kila cku, Dodoma wametulizwa!