Kwanini serikali wanashindwa kesi nyingi za TAKUKURU na madawa ya kulevya

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,586
PATA MDA FWATILIA TOKA AINGIE JK SASA DK JPM SWALA LA KUSHINDWA MAHAKAMANI KWA KESI ZA RUSHWA ZA MAOFISINI NK LIMEKUWA N MWENDELEZO

KWA MNAOJUA HAKUNA KIPYA KESI YA MKURUGENZI WA TANESCO SIOHILO HATA WALE WANAOFIKISHWA WAMEKAMATWA MIKONONI NA MADAWA YAKULEVYA WANASHINDA KESI MAHAKAMANI

SHIDA NN WANASHERIA ??SIO WAZOEFUU KUKABILIANA NA KESI KUBWA???MH VALENTINO EMBUSAIDIA KAMA KUAJIRI WAZOEFU WENYE KULIPWA VIZURI LAKINI HAYA MASHIDA YA GOV KUSHINDWA KESI NA KULIPA KESI KILA SIKU WAO YAISHE
 
Hivi wewe unadhani tatizo ni wanasheria wa serikali? Kama umemsikia alichosema wakili Leonard Swai ndiyo ukweli wenyewe. Tatizo ni rushwa.
 
Ndugu yangu wana sheria wanao ajiliwa hawana taaruma ya kutosha wanaajiliwa kwa vimemo
 
Back
Top Bottom