Wapakistan waliokamatwa na madawa ya kulevya ya billion 6 waachiwa kwa dhamana;majaji walamba mil200 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapakistan waliokamatwa na madawa ya kulevya ya billion 6 waachiwa kwa dhamana;majaji walamba mil200

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 15, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Kana kwamba wanafanya siri lakini kuna upuuzi unaoendelea mahakama kuu kwa kweli ni aibu kama rais ningekuwa na mamlaka ningetimua mahakimu na majaji na kubadilisha pale mahakama kuu...jamani rushwa nje nje yaani wazeee na wamama wale awana hata haya ya kuzaliwa
  kama mmesikia majuzi n a hata majana wametangaza kuna wapakistan na watanzania wamekamatwa na dawa za kg 176 za bilion 6 heroine wameachiwa kwa dhamana.

  Lakini watanzania bado wanasota wakati wote wameshiriki na kilichotokea watanzania walitumia walipofinywa wakawataja walitumwa na hao wapakistan wakakamatwa...

  Habari zaidi na kama huko mahakama kuu fwatilia ni upuzi unaoongelewa kuna majaji wamelamba zaidi ya million 200 na hivi tunavyoongea kuna mpango wa kuwaleta tena mahakamani ikifika mara tatu wanatimua zao kesi inabaki kwa watanzania.

  Penginejaji aliesimamia hili anaitaji kueleza iweje watanzania wengi wamekamatwa airport na kufungwa ndani ya mwezi tena kwa madawa ya mili 10-50 leo hii washenzi hawa wana za billion 6 majaji wanawapa mdhamana watanzania hawapewi.

  Je huu ni uungwana wanasheria embu tusaidieni kwa huu upuuzi wa mahakama kuu.
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  E bwana e! du!
   
 3. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Wapi nukta, koma, mkato nk Mkuu?
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Utakuta huyo ni mwanafunzi wa "akademi".
   
 5. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,668
  Likes Received: 21,901
  Trophy Points: 280
  Hata hili mnaleta ushabiki badala ya kufatilia ukweli? Kuna watu mnaweza kuita mavi ya mbuzi karanga kwa vile tu mnampenda mbuzi.
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  jamaa ana hasira sana msameheni. sheria nchi hii haifuatwi kamwe mwenye pesa yupo juu yaa sheria!
   
 7. J

  Jikombe Senior Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Do! ni hatari sana. inanikumbusha wimbo wa Jhikomanyika "Mwache Aende".
  Hii ina reflect mifumo yetu ya haki, sheria,utawala etc. Ndani ya mifumo yetu kinachoangaliwa zaidi ni jinsi gani walio kwenye mifumo watanufaika. hao wapakistani wameweza kuunufaisha mfumo, ndo maana wameweza pata dhamana na ikiwezekana kuharibu mwenendo mzima wa kesi ili mfumo uwaone hawana hatia.

  Wale wanaoendelea kusota ni kwa kuwa hawana mchango wa kipesa kwa waendesha mfumo.
   
 8. The Good

  The Good Senior Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo kwenye red panahitaji ushahidi
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  mkuu ungeulizia ushahdi wa kuachiwa kwanza lafu huo wa red uko mikononi mwa dola sheria aziniruhusu kutoa hadharani
   
Loading...