Kwanini Serikali inamwogopa Lissu?

Kwanini Serikali inamwogopa Lissu?

Vijana fanyeni kazi, yani serikali ( mhimili wenye jeshi, mamlaka umuogope muhuni mmoja mnyoa kiduku?). Kuliko taifa litumbukie kwenye machafuko ni bora huyo ms.e,ngerema atangulie yeye ili kulinda wananchi safi wasio na hatia. God bless Africa, God bless Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
The God you speak about isn't Magufuli that's why Tundu Lissu still lives and has many years to live.
Siku ikifika taifa kuchafuka hakuna cha jeshi wala Police, unadhani mataifa yaliyokumbwa na machafuko hawakuwa na Police? Hawakuwa na jeshi?
Kama mnaonea watu eti kwa Sababu mna Police na jeshi mnajidanganya sana, muda utaongea.

Kama huko mlikotaka kumtanguliza ni kuzuri, ni kwanini hamkujitanguliza ninyi? Au ninyi hampendi kutangulia kuzimu? Tena unaandika kwa kujiamini kabisa eti, taifa litaingia kwenye machafuko!
Kwa taarifa yako, kama ulikuwa mpango wenu wa kuliingiza taifa matatizoni mlishafeli from the very begining! Mtajichafua na kupigana ninyi mnaodhani vyeo ni maisha na bila vyeo hamtakuwa na uhai! Natamani siku yenu ya kutangulia ahera mkataliwe na kurejeshwa kama wakimbizi !
 
Yani taifa lichafuke kwa sababu ya mjinga mmoja? Hiyo haikubaliki mahali kokote. Watu zaidi ya milioni 55 waanze kuteseka kwa sababu ya mnyoa kiduku flani wa hovyo hovyo? Unadhani machafuko yanakuja tu? Mbegu chafu kama huyo muhuni ndio hua vyanzo vya machafuko ambayo kama mwananchi wa kawaida nayapinga na nabariki hatua yoyote ya kuhakikisha amani na utulivu wa kweli unakuepo.

Nasema hivi, nipo tayari kupambana na mbegu chafu yoyote inayotaka tuingie kwenye machafuko. Unaijua vita kijana? Yule ni muasi sawa na shetani na nyinyi ni mfano wa majini wachafu wakina jini makata yaani lenu ni moja. Sasa kama Mtanzania halisi nipo tayari kufanya lolote ili kulinda amani ya nchi yangu nzuri. Shetani alitaka madaraka ndio kilimtoa kwa Mungu, na huyu mnyoa kiduku takwa lake ni madaraka ambayo hatakuja kuyapata kwa namna yoyote ile.
The God you speak about isn't Magufuli that's why Tundu Lissu still lives and has many years to live.
Siku ikifika taifa kuchafuka hakuna cha jeshi wala Police, unadhani mataifa yaliyokumbwa na machafuko hawakuwa na Police? Hawakuwa na jeshi?
Kama mnaonea watu eti kwa Sababu mna Police na jeshi mnajidanganya sana, muda utaongea.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema hivi, nipo tayari kupambana na mbegu chafu yoyote inayotaka tuingie kwenye machafuko. Unaijua vita kijana? Yule ni muasi sawa na shetani na nyinyi ni mfano wa majini wachafu wakina jini makata yaani lenu ni moja. Sasa kama Mtanzania halisi nipo tayari kufanya lolote ili kulinda amani ya nchi yangu nzuri. Shetani alitaka madaraka ndio kilimtoa kwa Mungu, na huyu mnyoa kiduku takwa lake ni madaraka ambayo hatakuja kuyapata kwa namna yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea kudhihirisha upumbavu wako,mlishindwa kumuua halafu unamfananisha na Shetani, anayefanana na shetani ni Magufuli muuaji wa Ben Saanane, Mawazo, Azori Gwanda, Akwilina na ameshindwa kumuua Lissu, amani gani ya kishenz unaihubiri wewe?
Amani ni kuwa mwana CCM,na kumsifia Dikteta uchwara?
Ficha upumbavu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana m,ji.nga m.jinga, kuongoza watu ni mzigo mzito, ni tofauti na unavyo andika hapa huku kijambio chako kikifunguka na kufunga. Viongozi wetu wa taifa wanakutunza wewe kwa gharama kubwa kitu ambacho wewe haujui, kuna watu hawalali kwa ajili yako ili kutunza amani na utulivu. Ile ni mbegu ambayo hata kwenye biblia tunaambiwa ilianguka kwenye mawe, haiwezi kuota kwa namna yoyote ilikwisha angamia haikubaliki mahali kokote.

Kutunza amani ya nchi huku wakiuwa watu wanaowakosoa?
Hizo ni gharama zangu mimi, Ni kodi yangu hiyo ndo inanilinda, Kama wewe ni high profile official in the government, mshauri Magufuli, mwambie Kama ataendelea kuonea watu na kunyanyasa wapinzani, Mungu atampa pigo kubwa kabla ya 2025,mwambie,yupo Mungu, asiyekubali watu wake kuonewa, mwambie, Mungu atampiga, Hakika atampiga kabla ya 2025.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kagenge ka watu 2_3 wenye maslahi binafsi unaita wapinzani? Hapa hakuna cha ICC wala umoja wa mataifa. Tz ni kubwa mno kuliko mtu binafsi yeyoye yule.
Kutunza amani ya nchi huku wakiuwa watu wanaowakosoa?
Hizo ni gharama zangu mimi, Ni kodi yangu hiyo ndo inanilinda, Kama wewe ni high profile official in the government, mshauri Magufuli, mwambie Kama ataendelea kuonea watu na kunyanyasa wapinzani, Mungu atampa pigo kubwa kabla ya 2025,mwambie,yupo Mungu, asiyekubali watu wake kuonewa, mwambie, Mungu atampiga, Hakika atampiga kabla ya 2025.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadanganywi, angekua ànadanganywa sasahivi ungekua umejificha msituni kukimbia machafuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushabiki maandazi umeifanya serikali kuwa ya kijinga kuliko serikali zote zilizopita, nyie mnamwogopa Magufuli, mwambie muda umeisha kuna jambo kubwa linakuja, salama yake ni kumrudia Mungu tu, nje ya hapo,hutaonekana humu wewe kusifia ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha tuendelee kushabikia amani, maendeleo, uzalendo. Nyinyi kagenge kadogo endeleeni kushabikia wizi wa mabeberu, ushoga, kukwepa kodi, kuishi kwa ujanja ujanja hamtaki kufanya kazi. Namuamini Rais wangu, naipenda nchi yangu.
Ushabiki maandazi umeifanya serikali kuwa ya kijinga kuliko serikali zote zilizopita, nyie mnamwogopa Magufuli, mwambie muda umeisha kuna jambo kubwa linakuja, salama yake ni kumrudia Mungu tu, nje ya hapo,hutaonekana humu wewe kusifia ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ukongwe uko sahihi, ubora utasubiri sana. Chama bora kinatoka na mabox ya kura vituoni kwenda kujaza kura zao ili watangazwe washindi!?

CCM huwa wanahakikisha opponent wao anafungwa minyororo mikononi na miguuni halafu wanaingia kwenye boxing ring ili wajihakikishie TKO!
 
Yani taifa lichafuke kwa sababu ya mjinga mmoja? Hiyo haikubaliki mahali kokote. Watu zaidi ya milioni 55 waanze kuteseka kwa sababu ya mnyoa kiduku flani wa hovyo hovyo? Unadhani machafuko yanakuja tu? Mbegu chafu kama huyo muhuni ndio hua vyanzo vya machafuko ambayo kama mwananchi wa kawaida nayapinga na nabariki hatua yoyote ya kuhakikisha amani na utulivu wa kweli unakuepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna njia mbadala kwenye ubongo wako zaidi ya kumuua? Hata hivyo sikushangai kwani njia unayopendekeza itumike ndiyo mnayoitumia kule burundi kwenu! Siamini na sitokaa niamini kuwa kuna mtanzania anayeweza kupendekeza binadamu mwenzake auawe kwani hatukulelewa hivyo. Na imani hii unayotaka hao watanzania milioni 55+ waifuate sidhani kama wataikubali kwani wamefundishwa kuvumiliana na kupendana na hii ndiyo sababu kuu ya kuzisaidia nchi nyingine kupigania uhuru wao. Wewe mkimbizi, njia hii kaihamasishe kule kwenu ulikokimbia! Nimekudharau wewe na wenye mawazo kama yako from the begining! Pathetic!
 
Mbegu chafu si salama kutunzwa na mbegu safi, watu 55+ ni muhimu kuliko kikundi cha watu wawili watatu.
Hakuna njia mbadala kwenye ubongo wako zaidi ya kumuua? Hata hivyo sikushangai kwani njia unayopendekeza itumike ndiyo mnayoitumia kule burundi kwenu! Siamini na sitokaa niamini kuwa kuna mtanzania anayeweza kupendekeza binadamu mwenzake auawe kwani hatukulelewa hivyo. Na imani hii unayotaka hao watanzania milioni 55+ waifuate sidhani kama wataikubali kwani wamefundishwa kuvumiliana na kupendana na hii ndiyo sababu kuu ya kuzisaidia nchi nyingine kupigania uhuru wao. Wewe mkimbizi, njia hii kaihamasishe kule kwenu ulikokimbia! Nimekudharau wewe na wenye mawazo kama yako from the begining! Pathetic!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omba sana sana usikutane na Lissu uso kwa uso, muulize Mzee Masilingi. Midomo ilikuwa inamcheza utadhani amekunywa nanihii. Lissu ni level nyingine, bado Mbowe sasa
kuna wakati walikutanishwa na Ndugai ITV aibu niliona mimi jinsi Ndugai alivyobwabwaja tena alitaka kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niweke vizuri, ccm na serikali hawamwogopi Lissu bali wanamchukia. Wanamchukia maana ana uwezo wa kujenga hoja na ushawishi kuliko mwenyekiti wao. Kibaya zaidi anaweka maovu yao hadharani hapo ndio wanaingia wazimu.
mjinga humchukia "mwerevu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom