Unaamini kabisa hao Nssf wanaweza kukaidi amri ya mkuu wa nchi?...huenda kibubu hakina hali nzuri.Pesa ipo, vitega uchumi mingii na wanachama wapya wanachangia.
Ni kosa la NSSF kukaidi amri ya Magufuli ya kuahirisha kanuni mpya Hadi 2023
Mkuu, Ni hatari kuweka fedha zako Banki, siku unazitaka ATM inagoma kutema?Unaamini kabisa hao Nssf wanaweza kukaidi amri ya mkuu wa nchi?...huenda kibubu hakina hali nzuri.