Kwanini serikali iliamua kufunga shule kwa ajili ya sensa?

wafanyakazi wao katika maeneo yao ya makazi ,wanafunzi je wao kwenye maeneo yao ya makazi?au unadhani kila mwanafunzi anasoma ktk eneo la makazi ya familia yake .

Hahaaaaa, unachekesha! Basi na wafungwa pamoja na mahabusu wakachiwe warudi makwao wakahesabiwe !!
 
....Nadhani hata lengo la kujaza fomu/kuandika barua kuomba sensa ni ili kama mgomo wa walimu usingezuiwa na mahakama basi walimu waliopata ukarani wajue hawana nafasi ya kugomea sensa kwa sababu wameomba wenyewe na hakuna uhusiano wa sensa na ualimu (Kwa sababu mwanzo kazi ya sensa ilipangwa kufanywa na walimu na hata kusababisha mihula kubadilishwa na ndio maana moja ya tishio la mgomo wa walimu toka CWT ni kugomea sensa na kuathiri zoezi zima ikijua ni kazi waliyopangiwa walimu kwa asilimia kubwa)
 
daah...!mulichosema ni kweli wakuu tutarajie kufeli kwa la saba,form four na form two mwakani kwa kweli hii ratiba ya sensa si nzuri.my young bro yuko std 7 wao shule wanaenda ila analalamika shule hawasomi halafu wakifungua hiyo tar 10 sept mtihan wa taifa 12 na13 sasa tutarajie nini...otherwse nimemuanzishia home class kwa week.
 
Back
Top Bottom