GE2025 Kwanini Serikali huwa inawaajiri Mawakili wenye uwezo mdogo sana?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,512
Reaction score
15,098
Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma!

Maswali Muhimu ya kujiuliza:

1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa nini Serikali huwa inawataka hao mawakili wenye akili na uwezo mdogo sana? Je, yawezekana Serikali inaamini kuwa ikiwaajiri mawakili wenye akili na uwezo mzuri wakakataa kutumika kama vikaragosi?

2. Je, yawezekana hawa mawakili wana akili na uwezo mzuri, bali kwa makusudi huwa wanajifanya wana akili na uwezo mdogo, kama njia ya kupinga kutumika kwao kama vikaragosi?

3. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?

Kwa kweli uwezo na hoja za mawakili wa Serikali, naamini hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria anaweza kufanya arguments bora zaidi za kisheria kuliko hawa vilaza?
 
Kwakweli hata mimi mawakili wa serikali nimewazarau,yaani wameshindwa kuanda comital proceedings mi nimeona hii ni aibu kwakweli ila wao wana mshipa usio wa aibu kwa hali ilivyo bado wanakomaa tu mahakamani
 
Hii nukuu itatumika vizazi Hadi vizazi.
20250910_172624.jpg
 
Askari au mwanasheria au yeyote anayefanyia SERIKALI si kwamba ana uwezo mdogo uwa wanafanya makusudi kushindwa kesi , au kesi nyingine uwa ni SERIKALI inalazimisha ziendelee hivo wao wanafanya kutimiza lengo tu !

Nimemkumbuka ndugu yangu Julius Ndyanabo alinipa Siri nyingi (R.I.P)

Britanicca
 
Hii ni known fact, haswa pale imelengwa kutetea uwongo
 
Askari au mwanasheria au yeyote anayefanyia SERIKALI si kwamba ana uwezo mdogo uwa wanafanya makusudi kushindwa kesi , au kesi nyingine uwa ni SERIKALI inalazimisha ziendelee hivo wao wanafanya kutimiza lengo tu !

Nimemkumbuka ndugu yangu Julius Ndyanabo alinipa Siri nyingi (R.I.P)

Britanicca
FACT,huyu anazungumzia mawakili lakini hashangai kwanini watu makini kama wasomi tunowafahamu wakiingia bungeni akili wanaziweka kwenye mifuko kabisa.

Kama hawaamini wamsikilize mzee kimei😁😁
 
Watu wasio na akili au wenye uwezo mdogo asilimia kubwa katika kazi wanategemea connection na kutoka ela , ndo mana unaona watu wengi ambao Wana GPA ndogo na wenye Elimu ya kufunga unga wanashika nafasi kubwa.
 
Mfumo wa laana -viscious cycle
Kuanzia aliewachagua,kuwaweka,kuwaajili ,chuo...na vizazi vyao
 
Kuna siku niliuliza hapa

Ukifuatilolia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma!

Maswali Muhimu ya kujiuliza:

1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa nini Serikali huwa inawataka hao mawakili wenye akili na uwezo mdogo sana? Je, yawezekana Serikali inaamini kuwa ikiwaajiri mawakili wenye akili na uwezo mzuri wakakataa kutumika kama vikaragosi?

2. Je, yawezekana hawa mawakili wana akili na uwezo mzuri, bali kwa makusudi huwa wanajifanya wana akili na uwezo mdogo, kama njia ya kupinga kutumika kwao kama vikaragosi?

3. Je, yawezekana wana akili na uwezo mzuri, lakini kutokana na dhamira mbaya na shetani aliyejaa mioyoni mwao, Mungu huamua kuwaaibisha, ili kuonesha ukuu wake?

Kwa kweli uwezo na hoja za mawakili wa Serikali, naamini hata mwanafunzi wa mwaka wa pili wa sheria anaweza kufanya arguments bora zaidi za kisheria kuliko hawa vilaza?
Na hawa ndio wameaminiwa kwa kesi kubwa kabisa ya uhaini, je wengine wa kawaida wakoje?
 
Siyo kwamba wana uwezo mdogo.

Kuhukumu uwezo wa mawakili wa Serikali kwa kupima kesi ya Lissu pekee ni kosa la kimantiki linaitwa Hasty Generalization.

Ila uhalisia ni ule aliousema Lissu mwenyewe ya kuwa hawalaumu mawakili wa Serikali kwasababu kesi za uhaini hutokea mara moja kila baada ya Generation mbili hivyo ni ngumu sana kwa wao kuwa na Experience ya kucheza na kesi ya Uhaini kama wanavyoweza kucheza na kesi fake za aina nyingine walizozizoea.
 
Askari au mwanasheria au yeyote anayefanyia SERIKALI si kwamba ana uwezo mdogo uwa wanafanya makusudi kushindwa kesi , au kesi nyingine uwa ni SERIKALI inalazimisha ziendelee hivo wao wanafanya kutimiza lengo tu !

Nimemkumbuka ndugu yangu Julius Ndyanabo alinipa Siri nyingi (R.I.P)

Britanicca
Huyu ndiye Ndyanabo alizikwa kule Mugana?
Nilikuwa bado mdogo msiba wake ulitikisa watu waliomboleza. Alikuwa distant family friend nilsikia wanamtaja alikuwa shabiki mkubwa wa Yanga.
 
Siyo kweli, Kuna wakati yanapita mambo fulani hivi ambapo nyeupe inaitwa nyeusi na nyeusi nyeupe kwa sababu fulanifulani hivi. Serikali yoyote yenye asili ya kidemokrasia huwa na tabia fulanifulani zipo kati ya kutobagaza na kubagaza watu.
 
Unawezaje kuonesha uwezo wako endapo umepewa maelekezo nini ufanye .

Hauwezi, hao hao wanazingua Ila baadhi wana Law farm za pembeni na zinafanya Kazi kwa ufanisi.
 
Back
Top Bottom