KERO Kwanini Serikali haijengi Flyover makutano ya barabara Mwenge!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

shwjo

New Member
Joined
Apr 21, 2019
Posts
3
Reaction score
2
Mataa ya Mwenge ni one of the busiest intersections hapa mjini. Hili ni miongoni mwa maeneo yanayofahamika sana kuwa chanzo cha foleni. Ni hasa kwa watu wanaoelekea maeneo ya Tangi Bovu, Tegeta, Bunju, Kunduchi n.k. Ni eneo ambalo miundombinu yake si ya kimajaribio, bali ni eneo la mkakati.

Cha kushangaza zaidi? 🤯
Badala ya kupunguza mzigo, wanaweka pia kituo cha mwendokasi pale pale Mwenge. Kuashiria, sio sehemu yenye bugudha, Yaani si eneo ambalo tayari limeelemewa.

Swali:
👉 Kwanini serikali haioni haja ya kujenga flyover kudhibiti hilo eneo?

Bila flyover, Mwenge itabaki kuwa kiwanda cha foleni milele. Ma-traffic wa pale na mataa yenyewe haya tofautiani sana. Wote wanaelemewa.
 
Kabisa. Pale Mwenge panastahili flyover.Itapunguza jam kwa kiwango kikubwa sana
 
Back
Top Bottom