kero barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaro imevunjika Mtaa wa Muhonda na Muheza Kariakoo

    Juzi kati kuna mtaro ya maji machafu imekatika na kusababisha kudumbukia tayari za magari na hata watu wanaotembea na hata huleta harufu mbaya katika makazi na kuathiri afya za watu Tunaiomba jamiiforums ipeleke kero hii kwa wahusika Hapa ni mtaa wa muheza na muhonda kariakoo karibu na China...
  2. serikalibora

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Serikali haijengi Flyover makutano ya barabara Mwenge!

    Mataa ya Mwenge ni one of the busiest intersections hapa mjini. Hili ni miongoni mwa maeneo yanayofahamika sana kuwa chanzo cha foleni. Ni hasa kwa watu wanaoelekea maeneo ya Tangi Bovu, Tegeta, Bunju, Kunduchi n.k. Ni eneo ambalo miundombinu yake si ya kimajaribio, bali ni eneo la mkakati...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi mapya ya mwendokasi hayana hata wiki yameanza kubuma barababarani?

    kama ndio hivi itakuwaje baada ya miezi michache ?
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

    Kuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara. Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana. Najiuliza kwanini haijasafirishwa Vipande? Mzigo kama huu unatakiwa Uchinjwe ndo usafirishwe Kuna...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kero ya misafara ya viongozi Dar es Salaam

    Hii misafara ya viongozi wetu inakera sana.Leo nimeonja adha ya hii kero haba mbezi karibu na standi kuu ya mabasi ya magufuli. Nina mgojwaa nawahi hospitali lakini gari zimezuiwa na nimejaribu kuwa eleza hawa askari wanadai watanichapa makofi nikilazimisha Kwa kudai Kuna kiongozi mzito...
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Rais Samia upo vizuri lakini kwa hili la kutuweka barabarani kwa muda mrefu hapana

    Kwa kifupi. Tumefika na tupo hapa Mkata kutokea Namanga kwenda Dar Es Salaam. Tumeshuka na kukaa ili kukusubili wewe na msafara wako upite. Hii kitu imenipa wakati mgumu sana kuwaza na kutafuta jibu hata sijalipata. Wewe ndiye mwenye maamuzi na viongozi walio chini yako kufanya mageuzi ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania KERO Hii Barabara eneo la Igogo - Mwanza inatutesa wengi, kwani Viongozi wanaohusika hawaioni?

    Kuna changamoto ya miundombinu ya Barabara katika eneo la Igogo inayopita Soko la Wafanyabishara Wadogo la Mchafu Koga. Changamoto hiyo inasababisha vyombo vya usafiri hasa Daladala kutopita katika eneo hilo kwa wasiwasi wa kuharibu vyombo vyao vya moto huku abiria nao wakikumbana na adha ya...
Back
Top Bottom