Kwanini sera za ujamaa na kujitegemea zilishindwa?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
76,019
159,772
Profesa wa Uchumi wa Chuo Kikuu kimoja alizungumza darasani kwamba hakuwahi kufelisha mwanafunzi hata mmoja, hata hivyo wakati huu Darasa zima lilikua limefeli.
Darasa lilikua limejibu mtihani kuwa Ujamaa ni itikadi muafaka ya kichumu ya kuleta usawa, chini ya ujamaa hakuna tajiri wala masikini.
Profesa akataka darasa lizijaribu kanuni za kijamaa kwenye mtihani.
Kwamba alama watakazopata wanadarasa wote zitagawiwa kwa usawa baina yao; hakuna atakaefeli wala hakuna atakae pata alama 'A'.
Baada ya mtihani kila mwanafunzi alipata alama 'B'.
Waliojiandaa sana na mtihani walichukia, wakati ambao walijiandaa kiasi tu walifurahi.
Mtihani wa pili ulipokuja wale waliojiandaa kidogo wakajiandaa kidogo zaidi na wale ambao awali walijiandaa sana, wakati huu hawakujiandaa vilivyo kwani nao hawakutaka kujisumbua.
Matokeo ya wastani yakawa alama 'D'. Na hakuna aliyefurahia!
Ulipokuja mtihani wa 3 matokeo yakawa 'F'
Jaribio lilivyoendelea na matokeo yakawa mabaya zaidi, wanafunzi wakalaumina na kuitana majina mabaya. Hakuna aliekua tayari kusoma kwa faida ya mwingine.
Kwa Mshangao mkubwa wote wakafeli, na profesa akawaambia hatimaye Ujamaa pia utafeli kwakua pale malipo yanapokua makubwa na jitihada za kufanikiwa zinaongezeka. Lakini pale ambapo Serikali inafuta malipo yote hakuna atakae jaribu kufanikiwa.
Pengine hizi ndio sentensi 5 zinazotawala jaribio hili.
1. Huwezi wafikisha masikini kwenye mafanikio kwa kuwaondoa matajiri kwenye mafanikio.
2. Kile ambacho mtu analipwa bila kukifanyia kazi, kuna mtu amekifanyia kazi bila kulipwa.
3. Serikali haiwezi kumlipa mtu kitu, ambacho serikali hiyo haijampora kitu hicho mtu mwingine.
4. Huwezi uzidisha utajiri kwa kuugawanya.
5. Pale ambapo nusu ya watu wanaona hakuna haja ya kufanya kazi kwakua kuna nusu ya watu wanafanya kazi kwa ajili yao. Na pale wanaofanya kazi wakiona kwamba hawana sababu ya kufanya kazi kwakua watu wengine watafaidika na kazi zao; huo ndio unakua mwanzo wa mwisho wa Taifa.
 
Mleta mada umekosea kitu kimoja sera inasema

"Ujamaa na kujitegemea"

Tatzo wewe umebezi kwenye mambo ya utajiri ya kwamba mmoja apate wagawiwe wenzao kwa sawa, hapana ujamaa ulikiwa hauna maana hiyo.

Ujamaa ulikuwa na lengo la kuwarise watu wote kwa pamoja yani kwa level moja basi.
 
Profesa wa Uchumi wa Chuo Kikuu kimoja alizungumza darasani kwamba hakuwahi kufelisha mwanafunzi hata mmoja, hata hivyo wakati huu Darasa zima lilikua limefeli.
Darasa lilikua limejibu mtihani kuwa Ujamaa ni itikadi muafaka ya kichumu ya kuleta usawa, chini ya ujamaa hakuna tajiri wala masikini.
Profesa akataka darasa lizijaribu kanuni za kijamaa kwenye mtihani.
Kwamba alama watakazopata wanadarasa wote zitagawiwa kwa usawa baina yao; hakuna atakaefeli wala hakuna atakae pata alama 'A'.
Baada ya mtihani kila mwanafunzi alipata alama 'B'.
Waliojiandaa sana na mtihani walichukia, wakati ambao walijiandaa kiasi tu walifurahi.
Mtihani wa pili ulipokuja wale waliojiandaa kidogo wakajiandaa kidogo zaidi na wale ambao awali walijiandaa sana, wakati huu hawakujiandaa vilivyo kwani nao hawakutaka kujisumbua.
Matokeo ya wastani yakawa alama 'D'. Na hakuna aliyefurahia!
Ulipokuja mtihani wa 3 matokeo yakawa 'F'
Jaribio lilivyoendelea na matokeo yakawa mabaya zaidi, wanafunzi wakalaumina na kuitana majina mabaya. Hakuna aliekua tayari kusoma kwa faida ya mwingine.
Kwa Mshangao mkubwa wote wakafeli, na profesa akawaambia hatimaye Ujamaa pia utafeli kwakua pale malipo yanapokua makubwa na jitihada za kufanikiwa zinaongezeka. Lakini pale ambapo Serikali inafuta malipo yote hakuna atakae jaribu kufanikiwa.
Pengine hizi ndio sentensi 5 zinazotawala jaribio hili.
1. Huwezi wafikisha masikini kwenye mafanikio kwa kuwaondoa matajiri kwenye mafanikio.
2. Kile ambacho mtu analipwa bila kukifanyia kazi, kuna mtu amekifanyia kazi bila kulipwa.
3. Serikali haiwezi kumlipa mtu kitu, ambacho serikali hiyo haijampora kitu hicho mtu mwingine.
4. Huwezi uzidisha utajiri kwa kuugawanya.
5. Pale ambapo nusu ya watu wanaona hakuna haja ya kufanya kazi kwakua kuna nusu ya watu wanafanya kazi kwa ajili yao. Na pale wanaofanya kazi wakiona kwamba hawana sababu ya kufanya kazi kwakua watu wengine watafaidika na kazi zao; huo ndio unakua mwanzo wa mwisho wa Taifa.
Swali hili umtupie Mzee Ngombale Mwiru.
Nafikiri anaweza kutujuza sababu zilizofanya Ujamaa UFE na siyo kufa tu na atuambie MADHARA yaliyoletwa na huo ujamaa ambao mpaka sasa watu ni maskini na watu wangali wakitumia kulimia JEMBE LA MKONO miaka zaidi ya 50 tangu tupate UHURU!
Ni AIBU kubwa.
Ngombale Mwiru atuambie
 
Usisahau kuwasema na makuhadi waliolipwa pesa nyingi sana ili wakasambaze sumu dhidi ya ujamaa. Hakuna asiyejua kwamba mabepari walishinda na ubepari wao kwasababu walitumia mlungura mwingi mno
 
Ujamaa ni Mfumo Mzuri sana kuuelezea kwny Midahalo na Makongamano lakini ni Mfumo uliojaa Nadharia kuliko Hali halisi
 
Dhana za watu masikini wa kipato na fikra. Hujawa na wivu juu ya maendeleo ya watu wenye kipato, chuki, roho mbaya na ushirikina. Mara zote huishia kufeli
 
Ikiwa ujamaa mbaya mbona wachina ni second largest economy.?
Generalization sio nzur kwani hata hao capitalist mbona nao hali mbaya?
Capitalists ndio walikua mstari wa mbele to enslave and colonize other nations.
Kila mfumo una mazur yake na mabaya yake.Nchi makini huangalia lipi linafaa na kwa muda gani.
 
Waliokuwepo madarakani kipindi cha ugonjwa hadi kifo cha ujamaa waliendesha mambo kinyume na maumbile!!!
 
Mimi sioni tatizo la Ujamaa..kwan ndio kipindi viwanda Vingi vilikuwepo,ndio kipindi pesa nilikua na thamani, uzalendo zaidi, uchumi yaan pato la kila mmoja kuongezeka kwa watu wengi sio kwa wachache
Tatizo La kufeli kwa u jamaa ni vita baridi..kati ya ma bwenyenye huko ulaya wakiofia viwanda vyao kutaifishwa na kua Mali ya woote
Kua kabisa bwenyenye yeye alale hata miaka sita lkn pesa inaingia kwa manufaa ya yeye na familia yake, kwani walio wengi wanamfanyia kaz kama ndio kiwandani au mashambani kwa ujira mdogo
 
asante raisi mwinyi kutuondolea maujinga ya ujamaa na kujitegemea! hakika awamu ya kwanza imetuchelewesha sana
 
Profesa wa Uchumi wa Chuo Kikuu kimoja alizungumza darasani kwamba hakuwahi kufelisha mwanafunzi hata mmoja, hata hivyo wakati huu Darasa zima lilikua limefeli.
Darasa lilikua limejibu mtihani kuwa Ujamaa ni itikadi muafaka ya kichumu ya kuleta usawa, chini ya ujamaa hakuna tajiri wala masikini.
Profesa akataka darasa lizijaribu kanuni za kijamaa kwenye mtihani.
Kwamba alama watakazopata wanadarasa wote zitagawiwa kwa usawa baina yao; hakuna atakaefeli wala hakuna atakae pata alama 'A'.
Baada ya mtihani kila mwanafunzi alipata alama 'B'.
Waliojiandaa sana na mtihani walichukia, wakati ambao walijiandaa kiasi tu walifurahi.
Mtihani wa pili ulipokuja wale waliojiandaa kidogo wakajiandaa kidogo zaidi na wale ambao awali walijiandaa sana, wakati huu hawakujiandaa vilivyo kwani nao hawakutaka kujisumbua.
Matokeo ya wastani yakawa alama 'D'. Na hakuna aliyefurahia!
Ulipokuja mtihani wa 3 matokeo yakawa 'F'
Jaribio lilivyoendelea na matokeo yakawa mabaya zaidi, wanafunzi wakalaumina na kuitana majina mabaya. Hakuna aliekua tayari kusoma kwa faida ya mwingine.
Kwa Mshangao mkubwa wote wakafeli, na profesa akawaambia hatimaye Ujamaa pia utafeli kwakua pale malipo yanapokua makubwa na jitihada za kufanikiwa zinaongezeka. Lakini pale ambapo Serikali inafuta malipo yote hakuna atakae jaribu kufanikiwa.
Pengine hizi ndio sentensi 5 zinazotawala jaribio hili.
1. Huwezi wafikisha masikini kwenye mafanikio kwa kuwaondoa matajiri kwenye mafanikio.
2. Kile ambacho mtu analipwa bila kukifanyia kazi, kuna mtu amekifanyia kazi bila kulipwa.
3. Serikali haiwezi kumlipa mtu kitu, ambacho serikali hiyo haijampora kitu hicho mtu mwingine.
4. Huwezi uzidisha utajiri kwa kuugawanya.
5. Pale ambapo nusu ya watu wanaona hakuna haja ya kufanya kazi kwakua kuna nusu ya watu wanafanya kazi kwa ajili yao. Na pale wanaofanya kazi wakiona kwamba hawana sababu ya kufanya kazi kwakua watu wengine watafaidika na kazi zao; huo ndio unakua mwanzo wa mwisho wa Taifa.
umeeleweka hiyo ni falsafa sahihi. ujamaa ni falsafa ya hisia tu (emotional) siyo practical
 
Back
Top Bottom