Kwanini Separatist wa muungano hawanyongwi?

Rio Shabazz

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,334
2,169
Tumekuwa na watu wanaotumiwa kwa manufaa ya kundi fulani kuuvunja au kuuharibu muungano na serikali imeshindwa kabisa kupambana nao Hii inaonesha udhaifu wa serikali na kufa kwa serikali au chama tawala.

Huwezi unganisha nchi afu usitegemee kuwepo na maaduni (kila watu huwa na maslahi binafsi)
Kama ilivo huwa naturally kuna watu watataka mkoa fulani ujitenge bas na muungano ni hivo hivo.

Kufa kwa Soviet, Ethiopia, Sudan,
Marekani ingekuwa dhaifu kusingekua na muungano.

Tuadapt sera ya china . Nyonga wote wanaojifanya wanapigania waafrica kutengana wanatumiwa na watu wa nje.
 
wakishadhibitiwa tayari kunakua hakuna haja ya kuwanyonga tena 🐒

mara nyingi ni hatia na sheria ndivyo vinavyoamua mtu anyongwe🐒

lakini utashi na ujasiri wa mwenye mamlaka ya kuamuru tendo la kunyonga lifanyike huwa ni mtihani ambao wengi wameshindwa kufaulu🐒

mara zote wote wamepata zero kulingana na Imani zao na hofu ya Mungu dhidi ya uhai wa binadamu wenzao 🐒
 
Kwanini ulazimishe watu kuwa kwenye muungano ambao watu hawaoni manufaa?
Si kweli kua nalazimisha ni ivi
Kila nchi huwa na adui (Anaetaka imeguke)
Kila muungano huwa na maadui vile vile (wanaotaka usambaratike kwa maslahi fulan)

Sidhan mwananchi wa kawaida kama anaweza hangaika na muungano
 
Pumbavu kabisa. Huo muungano una faida zipi
 
wakishadhibitiwa tayari kunakua hakuna haja ya kuwanyonga tena 🐒

mara nyingi ni hatia na sheria ndivyo vinavyoamua mtu anyongwe🐒

lakini utashi na ujasiri wa mwenye mamlaka ya kuamuru tendo la kunyonga lifanyike huwa ni mtihani ambao wengi wameshindwa kufaulu🐒

mara zote wote wamepata zero kulingana na Imani zao na hofu ya Mungu dhidi ya uhai wa binadamu wenzao 🐒
Mbona china wananyonga hutasikia mtu kasema “Suuu”
Kifupi mtu hawezi kubali kufa kisa mambo ya siasa labda wenye kichaa cha siasa
 
Si kweli kua nalazimisha ni ivi
Kila nchi huwa na adui (Anaetaka imeguke)
Kila muungano huwa na maadui vile vile (wanaotaka usambaratike kwa maslahi fulan)

Sidhan mwananchi wa kawaida kama anaweza hangaika na muungano
Utakuwa na tatizo kichwani, wewe muungano wa Zanzibar na Bara kama ni mtu wa bara unanufaika na nini?
 
Mbona china wananyonga hutasikia mtu kasema “Suuu”
Kifupi mtu hawezi kubali kufa kisa mambo ya siasa labda wenye kichaa cha siasa
nadhani sijui china wanaamini nini 🐒

but Tz kwenye suala la kunyonga litaendelea kuishia kwenye hatia na hukumu ya kifo pale mahakamani tu 🐒

utekelezaji utasubiri atoke kiongozi mwenye Imani kama ya wachina 🐒

Lakini pia nahisi china, mtu akipatikana na hatia na hukumu ikawa kunyongwa basi hakimu akishatoa hukumu mtu yule anaenda moja kwa moja kunyongwa sio tena mpaka mkuu wa nchi atie sahihi 🐒
 
Ndio
 
Back
Top Bottom