Mkuu unamaanisha nn hapaaaaa😅😅 kuona tupu ya mwanamke alie mzidi kijana umri ni janga lingine
Sas sisi tumeliona hili tutafanya vep kumaliza utata wa upande mmoja wako sahihi na sio koteShida iko hapa
Kibabu kinaweza oa binti na jamii ikaona sawa tuu. Ila kibibi kikiolewa na marioo kelele mtaa mzima
Ama kweli kunya anye kuku.. Akinya bata kaharisha🤣
Hiki ndicho kijana au mwanaume anataka sasa hawa 2000 changamoto sana1. Watu wazimq hawana mechi ngumu, kwanza ile mkikutana wote mna hamu… ila hizi gurubembe za 2000 romance nusu saa bado mkavu
2. Watu wazima % kubwa hawana uongo uongo wa kuongeza 0 na kujifanya wana ela..
3. Adabu ya mahusiano, kelele chache za kujenga
Heee mshana tenhaa
Mimi umeniacha Goba Njia 4 hapa leo mkuu sijaelewa somoVibabu na vibinti
Vibibi na vibenten
Kwanini kila watu wasishinde mechi zao?
Liability and assert!
Weee kumbe???!!