Mbona samsung walishatengenesa OS yao ya BADA. Ikakosa umaarufu na baadae walijoint na Tizen.Samsung ni moja ya makampuni makubwa duniani kwenye uwanja wa teknolojia. Kutengeneza simu zinazotumia Android OS naona kama ni embarasment kwa kampuni kubwa hivi.
Sidhani kama watashindwa kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kwenye R&D ya kutengeneza OS yao.
Faida kubwa watakayopata ni ku-customize software na hardware kama Apple na Windows Phone wakati ule. Na hata tatizo lililoikumba Note 7 lisingetokea mwaka jana.
Faida nyingine ni kuwa na loyal customers ambao itawawia vigumu kuwahama kwasababu ya uniqueness ya OS yao. Mfano kwa sasa iphone na nokia ya wakati ule wameshatengeneza loyal customers kiasi kwamba kuhama platform zao imekuwa shida sana.
Ila kutumia android kuna wapa wateja option ya kuipata android sehemu nyingine na hata ushindani na makampuni mengine yanayotengeneza simu za Android unakua mkubwa. Ila wakiwa na OS yao watawapa ugumu loyal customers kuhama brand.
Play store imejaa malware, kila mtu anaweka app yake hata kama imekaa hovyohovyo. Wakiwa na OS yao, hawatawapa mwanya developers wanaoweka uchafu kwenye store watakayoitengeneza.
Samsung anauza mamilion ya simu, sio mbaya kuanza tayari anauza simu nyingi kwa mwaka.
Tunahitaji varieties za OS sokoni, kuwa na Os chache kunakinaisha.
Mkuu...Mkuu mi sikubaliani na wewe!...
Iphone habari nyingine kabisa...
Kama hujawahi tumia we jaribu utanipa majibu,najua ni ushabiki....jaribu kuitumia
iPhone is more than a phone mkuu
mkuu inategemea unazungumzia nini,Mkuu...
I'm hardcore Apple fanboy kuanzia Macbook mpaka Applewatch.
Kama umetumia iPhone 3G mpaka 6/6+... Lazima ukubali Apple ni mbabe,lakini kuanzia 6S/6S+,SE na 7/7+ Apple Kaachwa na Samsung.
Nazungumzia kuanzia 2015 mpaka leo iPhone hafurukuti kwa Samsung Galaxy... Macbook hafurukuti kwa Samsung Notebook despite weaknesses zilizopo kwenye Android na Window platform.
Mkuu... Umezungumza vyema na nimekuelewa vizuri.Ni kweli wengi wanapenda iPhone kama status symbol, mtu huyu ukitizam simu yake mna whatsapp, instagram, snapchat na photo editing apps, basi! amenunua ili apate status symbol tu. Lakini kuna wengine hawatumii kwa sababu ya status symbol, ila kwa sababu OS yake iko smooth katika kufanya shughuli zake za kazi, unlike android, android naona ni sawa na kusema windows OS tu, nakumbuka zamani ikifreeze ndo utaona utamu wake unajaza screen na tabs tu 😀 Ukija kwenye Privacy, mhhh, labda iphone wanasaidia sana apps zisichukue info from you bila permission, lakini hii ni US company, NSA ndio macho yao, juzi tu kuna skendo kwamba NSA wanachunguza iPhones
hapa mkuu devices za apple zinaweza kukaa mitaani kwa miaka mingi sana kuliko hata huyo Samsung, hapa nazungmzia products zote na hasa laptops. Nilikuwa na Lenovo brand new natumia, nimetumia kwa one year tu laptop imeanza maajabu yake ya windows kama kawaida, full kufreeze, tena ina Anti virus ambayo imekuwa installed kabisa yaani kitu genuine, yaani imekuwa inaboa kabisa kuitumia, mpaka kazi zangu nkawa sifanyi vizur, ofisini nnapofanya kazi mwenzangu ana macbook pro ya 2010, yaani anapiga mzigo fresh haisumbui, ilibid ninunue tu na kuweka lenovo pembeni, sasa we imagine, tangu 2010 mpaka leo miaka mingap kitu bado kipo mzigoni? OS za Apple ndio zinawasaidia sana ila kwenye iPhones Apple wanyambi, wanaktisha updates za new iOS unaikuta simu yako unaishia kupiga na kupokea na kupiga picha, hapa wanafanya makusudi kuforce watu wanunue simu nyengine, hapa wameboa sana!!!!!
Nina hp ambayo ni ina run window os nilinunua 09 mpaka leo haijawahi guswa.Ni kweli wengi wanapenda iPhone kama status symbol, mtu huyu ukitizam simu yake mna whatsapp, instagram, snapchat na photo editing apps, basi! amenunua ili apate status symbol tu. Lakini kuna wengine hawatumii kwa sababu ya status symbol, ila kwa sababu OS yake iko smooth katika kufanya shughuli zake za kazi, unlike android, android naona ni sawa na kusema windows OS tu, nakumbuka zamani ikifreeze ndo utaona utamu wake unajaza screen na tabs tu 😀 Ukija kwenye Privacy, mhhh, labda iphone wanasaidia sana apps zisichukue info from you bila permission, lakini hii ni US company, NSA ndio macho yao, juzi tu kuna skendo kwamba NSA wanachunguza iPhones
hapa mkuu devices za apple zinaweza kukaa mitaani kwa miaka mingi sana kuliko hata huyo Samsung, hapa nazungmzia products zote na hasa laptops. Nilikuwa na Lenovo brand new natumia, nimetumia kwa one year tu laptop imeanza maajabu yake ya windows kama kawaida, full kufreeze, tena ina Anti virus ambayo imekuwa installed kabisa yaani kitu genuine, yaani imekuwa inaboa kabisa kuitumia, mpaka kazi zangu nkawa sifanyi vizur, ofisini nnapofanya kazi mwenzangu ana macbook pro ya 2010, yaani anapiga mzigo fresh haisumbui, ilibid ninunue tu na kuweka lenovo pembeni, sasa we imagine, tangu 2010 mpaka leo miaka mingap kitu bado kipo mzigoni? OS za Apple ndio zinawasaidia sana ila kwenye iPhones Apple wanyambi, wanaktisha updates za new iOS unaikuta simu yako unaishia kupiga na kupokea na kupiga picha, hapa wanafanya makusudi kuforce watu wanunue simu nyengine, hapa wameboa sana!!!!!
Mkuu...mkuu inategemea unazungumzia nini,
ukizungumzia soc kwa ujumla mambo ya cpu, modem, bands za simu, apple wapo vizuri kushinda oems wote wa android, mfano kwa hapa Tanzania nikitaka simu yenye bands zote za 4G inabidi ninunue iphone, na almost nchi zote nitakazoenda itashika 4g zao. ila kwa samsung na android kila variant ina bands zake.
ukija mambo ya display, resolution, virtual reality, ram, nk samsung na oems wengine wa android wapo vizuri kushinda Iphone.
Hivi mkuu apple wametoa iphone 6 plus lakini ipo katika version ya android?Mkuu...
I'm hardcore Apple fanboy kuanzia Macbook mpaka Applewatch.
Kama umetumia iPhone 3G mpaka 6/6+... Lazima ukubali Apple ni mbabe,lakini kuanzia 6S/6S+,SE na 7/7+ Apple Kaachwa na Samsung.
Nazungumzia kuanzia 2015 mpaka leo iPhone hafurukuti kwa Samsung Galaxy... Macbook hafurukuti kwa Samsung Notebook despite weaknesses zilizopo kwenye Android na Window platform.
Hivi mkuu apple wametoa iphone 6 plus lakini ipo katika version ya android?Waulizeni Microsoft nini kimewapata kwenye OS war? Wame spend more than 10 billion dollars kupush Windows phone os ndani ya miaka 6 iliyopita lakini wameishia kwenye 3% ya os market share. Ilikuwepo palm ikanunuliwa na Hp kwa zaidi ya dola billion 1 lakini wakafeli sokoni.
Kalikua na blackberry na os yao ambayo ilikua salama kuliko zote na kuna kipindi ilikua kampuni ya tatu kwa kuingiza faida duniani kupitia biashara ya sim. Leo original blackberry phones haziuzi nao wamehamia Android.
Android pamoja na mapungufu yake ndiyo imeshika soko tena ni ya bure hata kampuni ikiamua kufanya customisation kama Oneplus na cynogen yao. Pia ina saidia kampuni kupunguza gharama za uzalishaji kwa sababu muda mwingi wana deal na hardware wakati software ni kazi ya Google.
Pita kwenye blog ya communities-dominate.blogs.com kwa taarifa bora kuhusu mobile phone industry.
Mkuu...Hivi mkuu apple wametoa iphone 6 plus lakini ipo katika version ya android?
Maana kuna jamaa anayo hapa mi nikajua kopi lakini nimejaribu kuicheki camera iko poa,mzigo inapiga vizuri tu.
Mimi ninavyofahamu iphone ipo katika version ya ios hili limekaaje?
mkuu dont under estimate soc, ni moyo wa simu, mimi sio fan wa ios na kutumia material malaini kutengeneza simu, ila kama iphone ingerun android na kuwa na durability ya Nokia basi ingekuwa ndio simu niipendayo zaidi.Mkuu...
Nitolee mfano Samsung Galaxy S7 Edge ni simu inayo offer the best in every department... Huwezi kuifananisha na iPhone 7+.
Samsung wapo vizuri kwenye battery,camera,resolution, ram na display.
Wameweza kuifanya simu ya 6.2-inch display ilingane na 5.5-inch display(S8+ ina 6.2inch inalingana na iPhone 7+ yenye 5.5inch) display inakuwa kubwa with less bezels,... Bado sija mention solid waterproof.
Ukitaka kucheza game nzito kwenye iPhone lazima ikuzingue... Lakini kwenye Samsung ita run smoothly.
Kama ulivosema Apple wapo vizuri kwenye Soc... Kila simu ina strength na weakness zake,lakini Samsung itashinda overall.
Ila naona utofauti ni mdogo sana hata kama itakuwa copy mkuu maana inasoma 4g kama kawa internet iko poa pia basi jamaa ananiambia niyenyewe ila mimi nilishituka nilivyoona android version.Mkuu...
Hio ni iPhone fake,Apple hawazalishi iPhone yenye Android OS.
Kuna copycat zinatokea china.
Made in China hiyo,,.Hivi mkuu apple wametoa iphone 6 plus lakini ipo katika version ya android?
Maana kuna jamaa anayo hapa mi nikajua kopi lakini nimejaribu kuicheki camera iko poa,mzigo inapiga vizuri tu.
Mimi ninavyofahamu iphone ipo katika version ya ios hili limekaaje?
Je ili nijue iphone 6 plus kama nikopi nitaitambua vipi?
inategemea na what type of a user you are, mimi ni heavy internet user, most of the times na stream, either movies, series au youtube, pia ni mtu wa kudownload sana kama vile games na software, ninarun multiple software at once, mfano naweza nikawa na excel docs kama 5 zipo wazi, word docs, na other software zikiwa zinarun, then mimi kwa mwezi labda mara moja tu ndo laptop inazimwa tena iishe chaji, otherwise nikiwa sina kazi naifunga tuNina hp ambayo ni ina run window os nilinunua 09 mpaka leo haijawahi guswa.
Mkuu mi sikubaliani na wewe!...
Iphone habari nyingine kabisa...
Kama hujawahi tumia we jaribu utanipa majibu,najua ni ushabiki....jaribu kuitumia
iPhone is more than a phone mkuu