Kwanini Samia mnamuita "Mama" ?

Kwanini Samia mnamuita "Mama" ?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,236
1. Mama ambae baba mzee Kibao anakufa anasema kifo ni kifo

2. Mama ambae mtoto Mdude amechukukuliwa kikatili na kuvuja damu, wajukuu wanaachwa yatima, yeye mwenye dhamana hasemi kitu

3. Mama watoto wanapotea hana habari.

Mama ni title ya huruma na utu, Samia amekosa hicho. Itoshe kumuita Rais samia, au mama Abdul, yeye ni mama kwa kina Abdul, sio sisi.
 
Samia ni rais ilw hana hadhi ya kuwa mama
 
Tarehe 29 waislamu wote tunakwenda kumtupia shetani jiwe adriz The Consigliere FaizaFoxy Al-mukheef @ Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Covax Jagina THE BIG SHOW Tlaatlaah ..

Gentlemen tukutane TAREHE 29 kwenye kumpiga mawe shatani ibilisi mjalaana mlaaniwa SAMIA BUSHIRI
 
1. Mama ambae baba mzee Kibao anakufa anasema kifo ni kifo

2. Mama ambae mtoto Mdude amechukukuliwa kikatili na kuvuja damu, wajukuu wanaachwa yatima, yeye mwenye dhamana hasemi kitu

3. Mama watoto wanapotea hana habari.

Mama ni title ya huruma na utu, Samia amekosa hicho. Itoshe kumuita Rais samia, au mama Abdul, yeye ni mama kwa kina Abdul, sio sisi.
Chukua 1kg ya nyama nakuja kulipia.

Kwenye Taifa hili tuna watu wachache wenye akili kama wewe.
 
its by design, utawala wake ulipangwa kwa muda mrefu sana tu, hivyo kumuita mama kunamuondelea adhabu na ukatili ambao kama kungekuwa na mapinduzi kwa mfano nani angeweza muadhibu “mama” wote mngekuwa na huruma after all nani anaweza mnyonga “mama”.

kwa lugha ya kijasusi wanaita psyop au psychological operation cia walitumia sana psyops mpaka leo hii, hata mambo ya mipira ya yanga vs simba ni psyop kwani nina uhakika 100% hata siyo mpenzi wa soka lkn anaitumia kuwagawa, divide and rule, usisahau kwenda kukutana na watawa na kupiga nao picha na kuirusha “kuwalazimasha” kutoa kauli kwamba wanamkubali huku akijua fika kwamba Kanisa haliivi na utawala wake kiivyo, yote ni sehemu ya psyops na divide and rule.

pure evil, man …
 
Write your reply...mdude inapaswa aliwe kiboga kwa kutwa mara tatu na viboko 24 kila siku
 
Ila sidhani kama huyu mwanamke ana akili sawa kichwani wazee?Hvi ni kweli anaingia kwenye uchaguzi peke yake?Kwani ni mzima kweli?uskute kuna shida mahali kichwani
 
Back
Top Bottom