CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,093
- 41,369
Mtu akikaribia kukata roho huwa anatapatapa sana, Kisukuma tumasema is last kick of a dying horse.Wote wameondoka kwa shinikizo kwa habari za ndani. Hawa ndiyo walikuwa viongozi wa juu kabisa
Makaumu wa Raisi Mpango
Waziri Mkuu Majaliwa
Spika Ndugai